Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Ushauri mzuri sana huuPole sana. Dhambi ni mbaya sana. Imeandikwa katika kitabu kitakatifu Cha Biblia kuwa afanyae mapenzi na mke wa mtu adhabu yake ni sawa na kufungwa jiwe shingoni akatupwa bahari. Nikirudi kwenye suala lako kwanza usimwambie mume wake, pili hama huo mtaa na usije kurudia kosa la namna hiyo ni vibaya Sana tena sana. Tatu kama ni mkristo nenda Kwa padre katubu na hapo Amani itarudi na utakuwa huru. Mwisho ukiona umetenda dhambi Fulani alafu ROHO ikawa inakuuma sana ujue kwa kujutia kabisa kama hili, ujue nguvu ya Mungu ipo ndani yako, YESU KRISTO yupo ndani yako na ROHO MTAKATIFU yupo ndani yako hivyo nafsi inajisikia bibaya Kwa wewe kutenda dhambi ikiwa ni mtu mwema hivyo MUNGU hataki upotee. BARAKA ZAKE MUNGU MWENYEZI ZA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU ZIKUSHUKIE NA KUKAA NAWE DAIMA. AMINA
Hakuna formula hapo. Naona mtu akiwa mtu wa ibada sana, Mungu huwa ana namna ya kuhakikisha haoi mwanamke wa hovyo.Hata mimi numejisikia vibaya kusikia umetembea na mke wa mtu/ mpangaji mwenzio .
Hakafu kwanini hawa wake za watu huwa hawakatai?
Uzi 1# imejibu swali lako.Nimetoka na mke wa mtu,..binafsi nimejutia Sana hichi kitendo na nimemuomba mungu anisamehe kwa hii dhambi,.
Lakini toba ya kweli ni kumuomba ambae nimemkosea hapa duniani bhasi yeye akikubali na mungu anakubali,...inamaana toka nimetoka kufanya kitendo na huyu mke wa mtu nikimuona mme wake roho inadunda Sana na najiona mwenye hatia,,kuhusu huyu mke wa mtu naona anavidalili vya kutoka nirudie kosa na Mimi nafikiria kuhama kabisa hii nyumba tuliopanga wote sisi ni wapangaji...
Je ?nikimuomba msamaha jamaa si ataniuliza namuomba msamaha wa Nini au tu nimwambie anisamehe Sana Kuna kitu niliwahi kumkosea...naombeni hekima zenu wakuu Ila sito rudia tena.
Women hawajui wanataka nini.Hata mimi numejisikia vibaya kusikia umetembea na mke wa mtu/ mpangaji mwenzio .
Hakafu kwanini hawa wake za watu huwa hawakatai?
Mashetani hayo wewe...wapo kutuangamiza tuuHata mimi numejisikia vibaya kusikia umetembea na mke wa mtu/ mpangaji mwenzio .
Hakafu kwanini hawa wake za watu huwa hawakatai?
Mkuu...ni tamaa tu Ila Mimi najutia na sikushauriMashetani hayo wewe...wapo kutuangamiza tuu
Ah wee ile kitu tamu wacha kunipotosha tena demu awe na tako skonsi full burudani.Mkuu...ni tamaa tu Ila Mimi najutia na sikushauri