imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 994
Wana Jamii wa JF, ni hivi nina kijana wangu alimaliza form IV 2014, na haya ndio matokeo yake:- CIVICS E; HISTORY E; GEOGRAPHY D; KISWAHILI D; BIOLOGY E; B. MATHS F; COMMERCE F; BOOK KEEPINNG F. Akaenda kuchukuwa Certificate ya IT ambayo amefanya vizuri sana. Sasa anataka kuendelea na Diploma ya IT lakini kwa vile ana D tatu tu bafala ya nne hawezi kufanya Diploma. Nimsaidieje ili mwishowe aweze kuchukuwa hiyo Diploma ya IT. Mawazo ya msaada wenu yanakaribishwa.