Watu bwanasasa mkuu unataka kusoma ili nini?
au utapanda cheo hapo kazini?
Kiukweli Kuna vitenda huwa napata lakin vinahitaji niwe na vyeti lkin Sina maana Kuna watu huwa wananipa connection lkn wanashindwa kutokana na Sina chochoteHongera kwa kupata hilo wazo
Lakini ukiona unafanya jambo bila kujibu swali la kwanini na fanya hili ni jambo kuna kuwaga na tatizo na unaweza kupoteza muda na kujilaumu
We jiulize swali tu kwanini nataka kusoma???
Kama unaona kuna kitu unaenda kukipata zaidi kuliko hicho ulichonacho basi kaanze kusoma lakini kama hakuna mimi kwa upande wangu sikushauri.
Hongera kwa wazo la kujiendeleza kielimu kwani ni mtaji usiokwisha na kamwe hutojutia utakachokitoa katika eneo hili.Salaam kwa wakubwa na wengne wa makamo yangu natumain mu wazima
Mimi ni kijana wa makamo nilimaliza elimu yangu miaka 5 iliopita.ikanibidi nikomae mtaani
Ila kwa sas Nina akiba ya mil.1.5 sas nikawa nimepata wazo la kujiendleza kielimu katika chuo moja wapo kwa course ya community development
Kilichonileta hapa kwenu ni Jambo moja pekee binafs Nina kaz nayofanya na ndo inanipa company hapa na pale
Nimefkria Sana je nikasome au niendelee na kaz zangu tu hayo yote nawaza ni kutokana na Hali ilivo nikaona itakuwa vzur nikapata ushaur kidogo kwa wajuzi na wakubwa wangu