Ushauri Unahitajika: Mhimu Sana

Ushauri Unahitajika: Mhimu Sana

Hapo mtihani ,kwani hujawahi kuchepuka na akajua na akakusamehe maisha yakaendelea ? Kama alishagawahi kukusamehe basi kaa chini mwambie katika pitapita zangu nilijikuta napata mtoto kwahiyo mke wangu namleta hapa. Siyo uombe mwambie unamleta , akileta zakuletwa mwambie achague kuondoka au kubaki alafu hapo ishi kigaidi mbona atakubali mwenyewe .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom