Heshima kwenu wakuu
Kwa wale walioko kwenye ndoa wanaweza wakanisaidia kwa hili, My wife wangu ni mjamzito wa miezi 6 sasa! Ingawa hii ni bahati nzuri lakini imekuja na changamoto nyingine, ukaribu wetu umepungua sana na visirani vimeongezeka! Haipiti siku mbili hatujakwaruzana, na hii imesababisha kupata haki yangu ya ndoa iwe kwa tabu, yaani ni mpaka nilazimishe ndo nipate na hata nikipata ni nafanya yangu namuacha kwa sababu hataki kabisa hilo tendo! kwa miezi yote hiyo nimevumilia nikijua atleast ikipita ile miezi mibaya (miez 4-5 ya mwanzo ) nitakuwa safe lakini hali inaendelea, sasa nivumilie mpaka ajifungue (atleast miezi mingine 5 mbele) au nitafute pa kupumzika!
Nauliza hivo kwa sababu, mosi hali yangu ni mbaya, pili situation hiyo imesababisha niwe karibu na wadada wengine ambao wametokea kunielewa na wako tayari kunisaidia kupitisha muda, (Its amazing lakini nafikiri wadada/wamama wanaelewa hili)
Tafadhali nishaurini kwa busara zaidi, Nitashukuru ikiwa nitapata msaada kutoka kwa wazee au wamama watu wazima ambao wanayajua haya na wameyapitia zaidi ya mara moja!
Natanguliza shukrani!
Kula like kubwa, la kuongezea akifanya hivyo mama mwenyewe atajikuta anamuonea huruma na kumsaidia mumewe kwa namna nyingine, pia kuna uwezekano akawa anamuumiza jamaa anagegeda kwa nguvu na ndo maana mama hataki.mwenzetu!!lo! Mapema hivyo???chamsingi n kwanza ukirudi kutoka kazini mhag ur wife,umeshindaje,umekula nini?nani kakuchokoza leo?wakati wa mahojiano mpakate elekeza mkono wa kushoto tumboni,wa kulia kichwani!then jaribu kumwita kijusi tumboni ukimwuliza nitakuona lini mwanangu???anza kujenga upendo na mwanao!!hapo mwambie mum' mke wangu kuna chochote umeandaa?iwe yes or no!we chomoka dukani/sokoni chukua ndizi,machungwa,maziwa,na zambarau!kisha umlishe ukimwahidi kumlinda na kumvumlia kw lolote lile ama umtanie mama leo ninaona umechoka naweza kukusaidia kumbeba mtoto?yaani mama atafunguka na kuwa na matumaini ya kuwa u pamoja naye!!mwisho mtembeze weekend! Usihau ucheshi n sehemu kubwa y mjamzito na apate mlo kamili hasa vyakula vyenye madini y chuma!!ujifunze kumlea hata mtoto akiwa tumboni!! Usife moyo polepole ndo mwendo. Ahsante hppy new 2013
Kabisa kabisa.Mvumilivu hula mbivu, tamaa mbele mauti nyuma..wishing you a happy new year.
mwenzetu!!lo! Mapema hivyo???chamsingi n kwanza ukirudi kutoka kazini mhag ur wife,umeshindaje,umekula nini?nani kakuchokoza leo?wakati wa mahojiano mpakate elekeza mkono wa kushoto tumboni,wa kulia kichwani!then jaribu kumwita kijusi tumboni ukimwuliza nitakuona lini mwanangu???anza kujenga upendo na mwanao!!hapo mwambie mum' mke wangu kuna chochote umeandaa?iwe yes or no!we chomoka dukani/sokoni chukua ndizi,machungwa,maziwa,na zambarau!kisha umlishe ukimwahidi kumlinda na kumvumlia kw lolote lile ama umtanie mama leo ninaona umechoka naweza kukusaidia kumbeba mtoto?yaani mama atafunguka na kuwa na matumaini ya kuwa u pamoja naye!!mwisho mtembeze weekend! Usihau ucheshi n sehemu kubwa y mjamzito na apate mlo kamili hasa vyakula vyenye madini y chuma!!ujifunze kumlea hata mtoto akiwa tumboni!! Usife moyo polepole ndo mwendo. Ahsante hppy new 2013
Nakukubali aisee nakupa bonge la like.
mwenzetu!!lo! Mapema hivyo???chamsingi n kwanza ukirudi kutoka kazini mhag ur wife,umeshindaje,umekula nini?nani kakuchokoza leo?wakati wa mahojiano mpakate elekeza mkono wa kushoto tumboni,wa kulia kichwani!then jaribu kumwita kijusi tumboni ukimwuliza nitakuona lini mwanangu???anza kujenga upendo na mwanao!!hapo mwambie mum' mke wangu kuna chochote umeandaa?iwe yes or no!we chomoka dukani/sokoni chukua ndizi,machungwa,maziwa,na zambarau!kisha umlishe ukimwahidi kumlinda na kumvumlia kw lolote lile ama umtanie mama leo ninaona umechoka naweza kukusaidia kumbeba mtoto?yaani mama atafunguka na kuwa na matumaini ya kuwa u pamoja naye!!mwisho mtembeze weekend! Usihau ucheshi n sehemu kubwa y mjamzito na apate mlo kamili hasa vyakula vyenye madini y chuma!!ujifunze kumlea hata mtoto akiwa tumboni!! Usife moyo polepole ndo mwendo. Ahsante hppy new 2013
Heshima kwenu wakuu
Kwa wale walioko kwenye ndoa wanaweza wakanisaidia kwa hili, My wife wangu ni mjamzito wa miezi 6 sasa! Ingawa hii ni bahati nzuri lakini imekuja na changamoto nyingine, ukaribu wetu umepungua sana na visirani vimeongezeka! Haipiti siku mbili hatujakwaruzana, na hii imesababisha kupata haki yangu ya ndoa iwe kwa tabu, yaani ni mpaka nilazimishe ndo nipate na hata nikipata ni nafanya yangu namuacha kwa sababu hataki kabisa hilo tendo! kwa miezi yote hiyo nimevumilia nikijua atleast ikipita ile miezi mibaya (miez 4-5 ya mwanzo ) nitakuwa safe lakini hali inaendelea, sasa nivumilie mpaka ajifungue (atleast miezi mingine 5 mbele) au nitafute pa kupumzika!
Nauliza hivo kwa sababu, mosi hali yangu ni mbaya, pili situation hiyo imesababisha niwe karibu na wadada wengine ambao wametokea kunielewa na wako tayari kunisaidia kupitisha muda, (Its amazing lakini nafikiri wadada/wamama wanaelewa hili)
Tafadhali nishaurini kwa busara zaidi, Nitashukuru ikiwa nitapata msaada kutoka kwa wazee au wamama watu wazima ambao wanayajua haya na wameyapitia zaidi ya mara moja!
Natanguliza shukrani!
Jamani tukubaliane kuwa mimba si ugonjwa...........Nafikiri kuna haja ya jamii kuanzisha mfumo wa kuwapa wanaume ABC za namna ya kuishi na wake zao wanapokuwa wajawazito.
Kipindi hiki ni kigumu sana kwa kina mama walio wengi na asilimia kubwa ya kina baba wako so selfish .. Wengine ndo wanajitafutiaga nyumba ndogo.
Badala ya kumsupport wenzio katika jukumu zito alilonalo ndo kwanza unafikiria kuranda randa na vimada NON SENSE
Umeniuzi balaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums