USHAURI: Tupaki hili muundo wa Muangano Hadi 2020

USHAURI: Tupaki hili muundo wa Muangano Hadi 2020

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
793
Ni ukweli ulio wazi kwamba TAIFA halijajianda kumpokea, mtoto aliyekufa au Alitekwa msukule a.k.a Tanganyika na sasa anategemewa kurudi au kuzaliwa Kwa Mara ya pili. Ni busara tukajadili ibara zone nzuri ila pia kuu maintain status quo. Tukiendelea kujadiliana tukae vipi for the next 5 years.
 
Kama mbili basi tugawane mbao, mawazo haya hayakubaliki huku visiwani.:nono:
 
Irudi kwanza Tanganyika then huko mbele labda mwaka 2100 tujadili tena muungano.
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba TAIFA halijajianda kumpokea, mtoto aliyekufa au Alitekwa msukule a.k.a Tanganyika na sasa anategemewa kurudi au kuzaliwa Kwa Mara ya pili. Ni busara tukajadili ibara zone nzuri ila pia kuu maintain status quo. Tukiendelea kujadiliana tukae vipi for the next 5 years.
Mimi nafikiri tuchukue "time out" kwa miaka ishirini bila ya muungano (kila nchi iwe kivyake) halafu baada ya miaka ishirini ndiyo tunaweza kukaa mezani na kuangalia tuungane, tuendelee kutengana au kam tunataka muungano uwe wa aina gani.
 
Back
Top Bottom