tommie Member Joined Feb 26, 2014 Posts 47 Reaction score 8 Mar 22, 2014 #1 Habari wakubwa, mi nimeiona hii model kwenye mitandao na nimeipenda ila sifahamu jinsi ilivyo,wala bei yake kwa yard za hapa Tz naombeni ushauri wenu juu ya ubora wake na uimara wake,natanguliza shukran..
Habari wakubwa, mi nimeiona hii model kwenye mitandao na nimeipenda ila sifahamu jinsi ilivyo,wala bei yake kwa yard za hapa Tz naombeni ushauri wenu juu ya ubora wake na uimara wake,natanguliza shukran..
Kashi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 897 Reaction score 748 Mar 22, 2014 #2 Ni gari nzuri sana hata Mimi naipenda sana lakini bei yake iko juu sana.Yard za Bongo ni around 12 m.Ngoja waje wengine kwa ushauri zaidi.
Ni gari nzuri sana hata Mimi naipenda sana lakini bei yake iko juu sana.Yard za Bongo ni around 12 m.Ngoja waje wengine kwa ushauri zaidi.