Ushauri: Tanzania iige Malaysia kupambana na Dengue fever

Mkuu Big Result Now tumecopy kutoka kwao, ina maana na dengue ni matokeo ya kucopy kutoka huko.au wataalamu wetu walituletea huyu Mbu pia.?
 
unafikiri Serikali ya CCM haifahamu hilo!!????wanalojua isipokuwa wanapiga mahesabu jinsi ya kupiga 10% kabla hawajaleta wazo hilo zuri

Mimi huwa nachoka nao pale inapokuja gharama za kuboresha daftari la wapiga kura hizo billions huwa ni za nini, kwa kweli sijui kabisa yaani kuajiri makarani na kufanya data capture tufike mabilioni ya fedha wakati mitandao ya simu wanasajiri watu kila siku kirahisi tu
 
Kiongozi ni kweli tuige Malaysia. Tusione haya kwani tunawaiga kila kitu! Mfano, Mini-Tiger na BRN!
 
Hilo ni wazo zuri sana lakini cyo kwa serikali ye2 hii inayotanguliza maslai yao mbele kwanza.. Labda hili janga lingeanza kuwatafuna vigogo kwanza ndiyo wangechukulia maanan wazo kama hilo la msing
 
Back
Top Bottom