Ushauri Tafadhari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri Tafadhari!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by oonatha, Jul 26, 2012.

 1. o

  oonatha Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf,
  Mimi nina umri wa miaka 25, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na uhusiano na Kijana mmoja hivi na yeye ni member humu jf, tulikutana tukiwa chuo na tumedumu katika uhusiano huo kwa takribani mwaka mmoja na miezi kumi hivi, nakumbuka alianza kunifuatilia tangu nikiwa first year na mimi nilikuwa mgumu mno kumkubalia coz nilikuwa nikiamini kuwa vijana wa chuo wengi ni waongo na nilikuja kumkubalia wakati wa likizo ya kuingia third year baada ya dada yangu kunishauri kuwa huenda kijana huyo ana nia ya dhati kwangu. Tangu hapo tuliendelea na uhusiano huo mpaka mwaka huu mwezi june nilipomtumia sms huyo mpenzi wangu kumuuliza maswali yafuatayo;

  Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako

  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
  Nadhani hii sms sio mpya kwenu kwani niliiona kwenye hili jukwaa huyo mwenzangu akiomba ushauri, sikuandika hivyo tu bali nilimsihi anijibu na asikasirike pindi atakapo ipata hiyo sms coz nilihisi anaweza kukasirika coz ni tabia yake.
  Hakujibu hiyo sms, nikadhani labda mwenzangu hana vocha nikamtumia salio kidogo coz wote tumegraduate na still hatuna kazi, Still sms haikujibiwa, nikampigia kumuuliza why mbona hajajibu sms yangu, akasema sio kila kitu lazima kijibiwe. Nilipoendelea kumsisitiza anijibu sms yangu akajibu majibu yote hapana, halafu akaniambia nisimpigie simu tena na kila nilipompigia simu hakupikea. Tulipofikia ni kwamba mahusiano yamevunjika. Kaamua kuniacha na mpaka sasa sijui kosa langu ni nini coz mimi hainiingii akilini kuwa only hiyo sms itugombanishe????????????
  USHAURI NINAOOMBA KWENU ni kuwa ninajitahidi sana nimsahau lakini nashindwa, nimefuta no. zake zote lakini still ziko kichwani mwangu sijui nifanyeje, naombeni ushauri utakaoniwezesha nimsahau sababu nahisi simuhitaji tena maana alichonifanyia nahisi ni kitendo cha kibaya sana
  N.B
  Katika uhusiano huo sikuwahi hata siku moja kudemand pesa kutoka kwake na vitu vingine na sijui kwnn ameamua kuniadhibu kiasi hiki.
  Samahani kwa maelezo marefu, nawasilisha. USHAURI PLZZZZZZZZZZZZZZ
   
 2. v

  vaseline Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pole sana,, haya ni mambo ya kukutana wewe na yeye myamalize coz kujibu kila kitu hapana,,, inaweza kuwa hasira .. so you just calm down mtafute muyamalize wenyewe.
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unapenda ndoa eeeh?
  nidanganye danganye danganye tuuuu...ukiniambia ukweli nitaumia?
  assume angesema ndio kila kipengele..then asifanye hivo? kusema kweli mdogo wangu hujui wanaume wewe naona unachezea simba sharubu....shukuru mungu huyo kijana ni mstaarabu ..hajapenda kukudanganya...mimi nikiamuaga kujilipua hata jina huwa siulizi ....maana ni waongoooooooo
   
 4. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Pole,ila kama msomi remember Silence is always the best answer.Usimwage mchele kwa kuku wengi.
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  okay...huyo jamaa alishaonja K yako?
  i have to say wewe ulikuwa so right ulipokuwa na mawazo kuwa wanaume wa chuo ni waongo inapokuja suala la mapenzi sasa huyo dada yako alikuingiza njia panda dada. wanaume wanachuo wanataka kuonja tuu na kusepa.
  ushauri wangu ni kwamba potezea na hiyo mambo ya kumkumbuka na simu number kuwa kichwani ni seemu ya relatioship na itafika time utazoea maisha bila ya yeye.
   
 6. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa haraka haraka unaonekana bado unampenda....labda anaweza kubadili mawazo na kuomba msamaha je utakubali?
  Na kwa haraka haraka inaoneka yeye nahisi kuna kitu moyoni mwake anafikiria hasa ni kwanini ulimuuliza yale maswali halafu akaona aah kama vipi ngoja nilale mbele.
  Hayo maswali ni kawaida sana kwa wapenzi ambao hupenda kuwa na mipango ya baadae! ni mara nyingi sana wapenzi waliotoka vyuoni na kuingia mtaani kuulizana maswali kama haya, kule chuoni ni mara chache kuulizana na kule sekondari ndo kabisaaaa hata mawazo hamna
  Alikuwa 'problem oriented rather than solution oriented'......pengine ingekua vizuri ungemuuliza maswali haya mkiwa pamoja na kujadili kwa hatua huku mkitabasamu na kupeana habari za maisha!

  Pole sana, moja kati ya mambo ambayo Mungu ametuuumba nayo ni kusahau, wala usijali, yatapita and you will move on.
  Relax and get u'self busy
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama unataka kumsahau futa namba zake kichwani
   
 8. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  "Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza"
  Unajua dada nikuambie kitu kimoja.Tatizo wanawake wengi sana hawajui namna ya kuongea na wanaume.Kwa mf. baada ya wewe kumuuliza hayo maswali ungemuacha kwanza.Sisi wanaume huwa ukiisha tuambia jambo tunapenda kulifikiria kwanza,kwani swali la kwanza kabisa ambalo naamini jamaa alijiulizani " kwanini umemuuliza siku hiyo na wakati mmekaa muda wote huo?"jambo la pili ambalo wakina dada wengi huwa wanalifanya,Kung'ang'ania kupewa jibu hapohapo,hiii kitu hata mie huwa inanikera sana.Unataka ujibiwe hapohapo.Mie mwenyewe nikikuuliza swali hilohilo,utaniuliza kwanini umeniuliza.wewe siku zote kuwa na wewe unaona sikupendi pia?

  Haya masuala yanahitaji muda wakati mmetulia ndio mnaongea.Halafu jambo jingine maswali kama haya usithubutu kuuliza kwenye sms,ni mambo ya kuongea ana kwa ana.Perception ya kwanza mtu anayopata ,ni kuwa una mtu mwingine ,then unajaribu kupima yupi atakua tayari,ilhali unaweza hukuwa na nia hiyo.

  Nnachowashauri pamoja na huyo mwenzio,peaneni nafasi,kwani inaonyesha mnapendana.Mkikaa mbali kila mtu ataona umuhimu wa mwenzie mtajikuta mnatafutana.halafu kitanoga kuliko hata kile cha kwanza.
   
 9. o

  oonatha Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alipaswa aseme nimpe muda wa kujibu hiyo sms, pia mm na yy tuko kyk mikoa tofauti na ndio maana nilimuuliza thru sms. mawazo ya kuwa labda nina mtu mwingine hapana, sina.
   
 10. o

  oonatha Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najaribu lakini nashindwa, ndio maana nimeamua kuomba ushauri
   
 11. w

  wa home JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mmeshafanya matusi na ex wako
   
 12. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Pole sana. Kuna walakini ktk timing ya maswali hayo. Labda yangeulizwa mapema zaidi, maana naona mengi yake ni basic sana. Pili, Shukuru mungu kwamba walau umepata jibu kabla hujaharibikiwa. Take it as sth transient, a passing cloud.
   
 13. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hee! ni makubwa sana haya especially kwa mtu ambaye siyo isensitive, kwanza hata mini ni man so ngoja nijaribu kuchangia kulungana na fikra na experience kutoka katika mzingira yetu haya, kwanza si sahii kusema eti wavulana wa chuo ni waongo, katiaka mapenzi yeyote anaweza kukutenda awe manamke msomi,asiwemsomi awe na pesa au hana awe wa mjini au kijijini kulingana na factors mbalimbali ziwe za kimazingira au idiosyncratic reasons (mtu binafsi).
  Na pia swala la mahusiano linahitaji sana mjadala wa wa2 wawili (couples) ili kuweza kufikia muafaka sasa nyinyi inaonekana wala hamjakaa, lakini kama no mmeaachana kiivyo jaribu kuvumilia kunasiku utasahau, nalazima katika hili utakuwa umejifunza kitu.
  vile vile kumbuka swala la mahusiano ya kimapenzi ni a world wide debate hebu chukua baadhi ya mawazo ya wa2 hawa (feminists) uone kama yanaweza kukusaidai kumbuka ni mawazom yao 2.
  1. Mariama Bar "Dont marry 2 a man whom you love most". because he will be always hurting u.
  2. Simone De Devour "A woman who surrenders her body to a man through love for the lest of her life becomes object".
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Mwenzako alikuja na thread kama hii siku chache zilizopita, honestly nilimshangaa cause kutokana na maelezo yake sikuona kosa lako..my dear kisicho rizki hakiliki move on with your life, mahusiano mengi ya chuo hua yanaisha baada ya kumaliza chuo, take your time kama ni wako atarudi asiporudi ujue it was never meant to be!POLE
   
 15. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mtu hatakazi hamjapata mnaanza kuulizana kuhusu kuoana, ungesubiri basi kidogo iliapate kakazi ndo umuulize...wanawake na nyie hamjui timing kweli..
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Pole sana, jaribu kumsahau na jua unaweza kumsahau!

  Huyo jamaa alikuja na uzi kama huo akiomba ushauri kila mtu alimshangaa sana.

  Pole sana.
   
 17. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  kaeni mjadili,linajadilika hasa mkiweka hisia pembeni.
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,901
  Trophy Points: 280
  hivi rutta na Purple hamwezi kuniletea tena ile link ya ule uzi hpa? sikiliza dada huyu man ako hajiamin na ni katika wanaume ambao hawana msiamao wa maisha hata kama mlisha vunja amri ya sita usiumie kichwa hata kidogo. yaani ampenzi kukuach mkiwa bf/gf ni nzuri sana mnake the best divorce is that before marriage.

  Chukua time yako najua ataupitia huu uzi na atakuwa anajilaumu sana kwa madongo anayoyapata humu. ni mshenzi na hafai kabisa kuwa mwanaume na asiwatie aibu wanaume wazuri wa huku jf. huku wanaume wana akili njema siyo akili za ki fb.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  this looks so funny...isije ikawa ni mtu mmoja mwenye ID tofauti, huku anapost kama kidume halafu anageuka na kupost kama binti
   
 20. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  this looks so funny...isije ikawa ni mtu mmoja mwenye ID tofauti, huku anapost kama kidume halafu anageuka na kupost kama binti
   
Loading...