Ushauri Tafadhari.

Ushauri Tafadhari.

Registerd

Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
13
Reaction score
11
Nimekuwa najikuta nawapenda madem wa rafik yangu mmoja. Nikiwatongoza huwa hawakai and I have dated most of them. Tabia yangu hii mbaya naona inataka kukomaa naombeni ushaur jaman nifanyaje ili ikome?
 
wacha zinaa...........kama kweli unajua thamani ya URAFIKI......wacha kabisa huo upuuzi
 
Utajiri wa kwanza ni kuwa na marafiki
By Nick wa pili.

Baba aliniusia,
"Mwanangu usigombane wala kukosana na rafiki yako kisa mwanamke ".

Sasa wewe unachotafuta, utakipata.
 
Utajiri wa kwanza ni kuwa na marafiki
By Nick wa pili.

Baba aliniusia,
"Mwanangu usigombane wala kukosana na rafiki yako kisa mwanamke ".

Sasa wewe unachotafuta, utakipata.
Nawapenda marafiki zang sana ila huyu jamaa nahis ana bahat mbaya namim
 
Back
Top Bottom