Ushauri tafadhali

kama unaishi dsm, gari ni necessity sio anasa kwa hiyo nashauri nunua gari ya kawaida tu ( not your dream car just a normal fuel efficient car) itakayobaki nunua kiwanja anza kujenga taratibu.

Biashara kama huna total control sikushauri
 
Nunua kiwanja jenga nyumba za kupanga pokea kodi itakuongezea kipato
 
Aridhi, aridhi, aridhi. Kama mtu ana mapesa lakini hana aridhi, huyo bado ni maskini. Watu wanahodhi aridhi siyo magari. Why? Because ktk aridhi ndipo unapotoka utajiri. Nunua aridhi mdada popote inapopatikana. Magari yapo hayaishi. Kama ulikuwa unatembea basi anza kukimbia ukiitafuta aridhi. Kila la kheri
 
NB: kumbuka aridhi unayonunua Leo may be kwa 10M, baada ya mwaka mmoja inaweza kuuzwa kwa 30M bila presha! So tuliza boli,acha kukimbilia presha za ajari na uncertainties za biashara. Again, kila LA kheri. Kumbuka kununua aridhi popote inapopatikana.
 
Ardhi....
 
Maisha ni nyumba bidada.Jenga kwanza hayo mengine utafanya baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…