USHAURI TAFADHALI!!!

USHAURI TAFADHALI!!!

LUWIYA

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
151
Reaction score
114
Wakuu salaam ,, nimemaliza kidato cha sita 2012 nikipata divisio 3 point 16 E ,D,na F Nimemaliza diploma ya elimu 2014 , (chemistry &Biology) GPA ya 3.0. Ningependa kujiunga na masomo ya degree mwaka wa masomo 2019/2020 ,kwa field ya elimu ,, ama psychology. Je kwa matokeo yangu hapo naweza kupata chuo?... Hasa kwa vyuo vya serikali sababu ya unafuu wa ada.!..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapata bila shida mkuu. Ila GPA yako ni ya kawaida sana. Utapa ugumu kidogo kuchaguliwa vyuo vyenye population kubwa.

Nenda UDOM hawaachi mtu

Back
Top Bottom