USHAURI: SMS KUTOONEKANA.

Itoye

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
531
1,024
Wakuu, Salaam.

Simu yangu ina shida ya kutoonyesha sms zinazoingia i.e. kuna wakati zinaoneka zinapoingia lkn wakati mwingine hazionekani ingawa simu inapokuwa idle huwa inawaka(mwanga) kuashiria kuna sms imeingia lkn nikifungua kucheck hakuna sms, na watu huwa wananijulisha kuwa wamenitumia sms ila kwangu haionekani.

Naamini humu mko mliowahi kukutana na shida kama hii wakaitatua au mna utaalamu wa namna ninavyoweza solve hili tatizo.

Simu yangu ni TECNO-W3LTE.

Thanks in advance kwa ushauri nitakaoupata hapa.
 
nenda kwenye sms kisha futa sms za zamani zote,
Nimejitahidi kufanya hivyo na kwa sasa najitahidi kumake sure sms inbox iko empty lkn wapi, nikajaribu kuchange sms storage kwenda kwenye sim card kutoka kwenye phone storage pia haikusaidia.
 
Unatumia ile app ya sms illiyokuja na simu yako kabisa au umebadilisha unatumia nyingine tofauti?
 
Wakuu, Salaam.

Simu yangu ina shida ya kutoonyesha sms zinazoingia i.e. kuna wakati zinaoneka zinapoingia lkn wakati mwingine hazionekani ingawa simu inapokuwa idle huwa inawaka(mwanga) kuashiria kuna sms imeingia lkn nikifungua kucheck hakuna sms, na watu huwa wananijulisha kuwa wamenitumia sms ila kwangu haionekani.

Naamini humu mko mliowahi kukutana na shida kama hii wakaitatua au mna utaalamu wa namna ninavyoweza solve hili tatizo.

Simu yangu ni TECNO-W3LTE.

Thanks in advance kwa ushauri nitakaoupata hapa.
Naomba nikuulize hiyo gmail account ulifingulia simu unaitumia kwenye simu nyingine.
 
Nimejitahidi kufanya hivyo na kwa sasa najitahidi kumake sure sms inbox iko empty lkn wapi, nikajaribu kuchange sms storage kwenda kwenye sim card kutoka kwenye phone storage pia haikusaidia.
baada ya kufanya hivyo zima simu kisha iwashe
 
Hapana mkuu haitumiki kwenye simu nyingine.
Na hujawai kumfungulia mtu kwa gmail yako au gmail yako alikufungulia mtu kwa kutumia gmail yake.Kuna jamaa mmoja alimfungulia mtu kwa gmail yake akapata shida kama hiyo sms hazifiki au zinafika kwa kuchelewa alijaribu njia zote hadi ku hard reset alicho kuwa anakosea ni ku hard reset nakurudia gmail ileile anayotumia jamaa zinaingia kwa mda alafu tatizo linarudi kilicho saidia ali hard reset nakufungua gmail mpya shida ikaisha kabisa.Kwa hiyo jaribu njia nyingine ikishindikana i hard reset fungua kwa gmail mpya i hope itasaidia.
 
Shukrani mkuu, itabidi nijaribu kufanya hivi, maana inanipa tabu sana kwenye miamala ya simu.
 
Nenda katika playstore ,tafuta app ya messages ,ambayo inafanana na uliyopo katika simu yako ukishaliona nenda katika appdate.
 
Fanya hivyo uwe huru
Mkuu Tish, nashukuru kwa ushauri wako. Nilifanikiwa kufanya factory rest na kufungua email mpya niliyoitumia badala ya ile ya zamani, sasa ni almost a week sms nazipata vizuri, na kila nikifanya miamala ya simu sms zake nazipata wakati huo huo tofauti na ilivyokuwa awali.

Be blessed brother.

Good morning.
 
Nashukuru kwa kufanikiwa kwako Mungu anastahili utukufu wote mimi nimeelewa kwa sehemu tu na niwajibu wangu kuwapa wengine
 
Back
Top Bottom