Ushauri: Slaa agombee uenyekiti CHADEMA

mawazo yako ni mazuri ila huo ukabila wanauona ccm tu na kusahau kuwa majimbo yote hayatawaliwi na wachaga likiwepo iringa kwa kamanda msigwa.ccm wajtafakari yao ya kuwa chama cha matajiri na mtaji wao mkubwa kuwa wananchi maskini wa Tanzania.Hasa wakifikilia kukomboa jimbo badala ya kuwakomboa wananchi ambao wao ccm ndio chanzo cha umaskini huo.
 
Huna jipya wewe.!!kwa hiyo kwa akili yako hiyohiyo ndogo Cuf ndio umeona ni Chama chenye wabunge kila kona ya nchi?
Cd ya Ukanda ilisha chuja zamani sana ,tafuteni nyingine ya kutokanayo acheni Kuweweseka!
Kama chadema ni cha Kaskazini,imekuwaje iwe na wabunge, Mbeya, Iringa, Rukwa, Singida, Shinyanga,Kigoma,Musoma, Mwanza nk.!!
Kajipange upya na Mashuzi yako!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!
 
Tatizo lenu cdm,mtu akiwa na mawazo tofauti lazima mumtukane,kweli mtwara hamna wafuasi ni kama hakipo,sa hutaki kuambiwa ukweli? Back to topic kweli slaa awe mwenyekiti ili ubabe uwe usio kifani,na mama etu jose apate jeuri zaid ya kuwapeleka puta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…