Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Kutokana na umahiri aliouonyesha mh.slaa kiasi cha yeye kuwa ndio kama nembo ya chama kwa sasa na ili kuepusha makundi na kuondoa mpasuko unaokinyemelea chadema nadhani ni wakati muafaka na pia kwa maslahi ya chama Dr. Slaa agombee uenyekiti wa chama na Mh. Mabere Marando agombee ukatibu mkuu wa chama.
Nina imani hawa wawili wakifanya kazi pamoja kutokana na ukaribu wao chadema itafika mbali sana na kuondoa dhana kwamba chadema ni chama cha kabila fulani tu.
Nawasilisha.
Mwenyekiti ni mzuri na anakipenda chama lakini anapwaya sana kwenye siasa za majukwaani ambazo slaa nai champion huko
Umesahau wazinzi pia kama Mwigulu
top ten ya wazinz tz slaa anatisha
Dr. Slaa agombee uenyekiti wa chama na Mh. Mabere Marando agombee ukatibu mkuu wa chama.
Nawasilisha.
Ili kuondosha msuguano na mgongano wa kimaslahi ni bora kofia hizo mbili zikaunganishwa na kuvikwa mtu mmoja ambae ndie nembo ya chama kwa sasa,yote kwa yote huu ni ushauri tuFreeman Mbowe Tosha Uenyekiti Chadema
Dr Slaa Tosha Urais 2015
Freeman Mbowe & Wilbroad Slaa is the best combination ever in this world!
Umeanza lini kumwamini Marando?
Vipi kikwete yeye anapwaya wapi???!!
kama ulikuwa ndani ya mawazo yangu, haya mafanikio ya cdm yametokana na kazi yake nzuri (hilo halina ubishi) pamoja na mwenyekiti freeman, sasa kama freeman anapumzika na kubakia mshauri wa cdm, basi kwa muda huu basi uwenyekiti apewe dr.slaa.
Ingawa hii itakuwa msumari mchungu kwa wana ccm, watafanya kila kiwezekanalo dr. Asiwepe wadhifa huu mzito ndani ya chama chake.
Mmeshuhudia makundi, uchafuzi na menginyewe lakini kwa nguvu ya umma na kwa sababu tunaongozwa na nguvu ya mwenyezi mungu basi isharah tutawashinda mafisadi na mapesa yao.
Mungu akisimama hakuna linaloshindikana, hata daudi aliweza kumsurubu goriath aliyekuwa na siraha zote za kivita kwa manati tu.
Na sisi cdm tutawasurubu ccm kwa manati tu. Cdm for people, cdm kwa haki ya kila mtanzania.
Kama unataka chama kife kwa dakika moja huyu jamaa awe katibu mkuu!kamahujui uliza yaliyotokea 1996 kwa NCCR MAGEUZI!Mh. Mabere Marando agombee ukatibu mkuu wa chama.
Nawasilisha.
Mkuu TUKUTUKU,huyu si ndio mkuu wa kitengo cha intelejensia wa chama sasa unataka kusema taarifa anazotoa babu za kiintelejensia ni fafa?Kama unataka chama kife kwa dakika moja huyu jamaa awe katibu mkuu!kamahujui uliza yaliyotokea 1996 kwa NCCR MAGEUZI!
Babu ndiyo nani?tafadhari nijulishe kwanza ili tuendelee na mjadala!Mkuu TUKUTUKU,huyu si ndio mkuu wa kitengo cha intelejensia wa chama sasa unataka kusema taarifa anazotoa babu za kiintelejensia ni fafa?
Mkuu TUKUTUKU achana nae huyu Mingoi kibaraka wa muda mrefu wa MagambaeBabu ndiyo nani?tafadhari nijulishe kwanza ili tuendelee na mjadala!
je huoni kwamba ameshatumia vya kutosha ukatibu mkuu na sasa anatosha kwa uenyekiti?au unataka awe katibu mkuu wa kudumu kama yule seif shariff hamad wa cuf?