KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Hayo ni mawazo mazuri lakini tusubir maamuzi ya vikao vya chama yanayoendelea hivi sasa.
Hayakuhusu!!!!!!!!! waambie viongozi wenu washughulikie Matatizo yanayoiandama hii nchikwani wanajadili nani agombee uenyekiti na nani asigombee?
Freeman Mbowe Tosha Uenyekiti Chadema
Dr Slaa Tosha Urais 2015
Freeman Mbowe & Wilbroad Slaa is the best combination ever in this world!
Ndio maana nyie ccm mliamua kumpa jangili kinana ukatibu mkuu wa chama ili chama chenu kisionekane ni cha majambazi tu? Mkaamua kuchanganya vibaka maharamia mafisadi majambazi na majangili
Hatutawatenganisha mbowe na slaa, ni kama yesu na roho mtakatifu, watabaki hivo hivo mpaka tuione nuru. Ninyi magamba shugulikieni tembo wetu ndo ajenda mlionayo kwa sasa.
Ataolewa na MUDIna Josephine Mushumbus anakuwa nan? Maria
Hatutawatenganisha mbowe na slaa, ni kama yesu na roho mtakatifu, watabaki hivo hivo mpaka tuione nuru. Ninyi magamba shugulikieni tembo wetu ndo ajenda mlionayo kwa sasa.
je huoni kwamba ameshatumia vya kutosha ukatibu mkuu na sasa anatosha kwa uenyekiti?au unataka awe katibu mkuu wa kudumu kama yule seif shariff hamad wa cuf?Ni mawazo mazuri.. Ila inaonekana ukatibu ndio anaouweza vizuri, hilo tuna uhakika nalo maana tayari ameonesha uwezo wake..naamini chadema ina watu wengi makini kabisa hawa wataamua nani awe mwenyekiti wa chama.. Atakayepatikana nipo tayari kumuunga mkono
kwani umeona mwenyekiti anapwaya?
Ndio maana nyie ccm mliamua kumpa jangili kinana ukatibu mkuu wa chama ili chama chenu kisionekane ni cha majambazi tu? Mkaamua kuchanganya vibaka maharamia mafisadi majambazi na majangili