mimi saivi Nash inda bar tuHalafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?
Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu
Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
tulikutana kwenye daladalaFunguka vizuri. Haiwezekani ukaanza chuki kutoka hewani tu.Tueleze mlianzaje mapenzi yenu.Mlikutanaje?Nani alimuanza mwenzie?Mna watoto?Hali ya elimu zenu,mnazidiana?Uchumi umekaaje?Historian za familia zenu?Umepata mchepuko?Mkeo kapata au unahisi anao mchepuko?Vipi imani zenu/dini,ni waaamini wa kweli?Hebu jaribu kutuhusisha hayo machache kwanza.
Ha ha ha[emoji16]Halafu kuna vitu huwa nakifikiria sana...ikitokea nikaolewa halafu nikaanza kumchoka/kutompenda mume itakuaje?
Ama vile kulala na mume kila siku nitaweza kweli?na vile nisivyopenda kulala na mtu
Pole sana mkuu...kiasi chake nimeelewa unafeel aje
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Write your reply...mpige chini Njoo chama la mabachela. ndoa ni kiherehere
Well Said bravo man!!Wewe unataka umpate unayempenda alafu yeye hakupendi.. Nakuhakikishia utapata tabu sana, huyo ni wa kwako nadhani ukiulizwa sababu za msingi za kutompenda sidhani kama unaweza ukawa nazo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
MasikiniWakuu. ...samahani kwa wale nitawakwaza
nimekuwa kwa ndoa miaka 5 sasa.ila simpendi mke wangu.nilioa hata sijui kwa sababu gani nilijikuta tu nafunga ndoa ...aisee napata tabu sana.sasa hapa napata tabu sana.wadau.sielewi inakuwaje hapa....sasa sijui naomba ushauri au ndio nimepata, ndoà ya kokristo