TechWarlock
Member
- Sep 9, 2014
- 37
- 11
Nakushauri mpeleke Marian boys ada yake sio kubwa 3m kwa mwaka, shule imetulia ipo karibu na mpaka Wa dar na bagamoyoWakuu habari zenu,
Naomba kujua shule nzuri ya private kwa advance yenye michepuko ya sayansi(ukiondoa St. Joseph na Alpha), itafaa sana ikiwa Dar es salaam lakini hata mikoa mingine ni njem pia. Sifa za mwanafunzi ni wa kiume na amefaulu vizuri kwa daraja la divisheni 1 ya pointi 7. Bajeti iliyopo ni milioni 7 mpaka 8 kwa ada ya mwaka. Kama unaweza kuweka taarifa zaidi za shule kama mawasiliano na ada zao itapendeza zaidi.
Asanteni!
Ok pia nakushauri ufanye maamuzi mapema Marian huwa wanafanya interview mapema na ukikosa hakuna salia ya mtume, so fwatilua ujue ni lini wanafanya interview kwani wao hawatangazagi kwenye MediaNakushauri mpeleke Marian boys ada yake sio kubwa 3m kwa mwaka, shule imetulia ipo karibu na mpaka Wa dar na bagamoyo
Kwa nini huzitaki hizo shule mbili, Alpha na St Joseph?Wakuu habari zenu,
Naomba kujua shule nzuri ya private kwa Advance yenye michepuko ya Sayansi (ukiondoa St. Joseph na Alpha), itafaa sana ikiwa Dar es salaam lakini hata mikoa mingine ni njema pia. Sifa za mwanafunzi ni wa kiume na amefaulu vizuri kwa daraja la divisheni 1 ya pointi 7. Bajeti iliyopo ni milioni 7 mpaka 8 kwa ada ya mwaka. Kama unaweza kuweka taarifa zaidi za shule kama mawasiliano na ada zao itapendeza zaidi.
Asanteni!
Akomae n tuition Na msuli Sana ..
TakbiiirNatumae mleta mada ulipata muongozo...
Kwa nn MkuuAdvanced level ukichaguliwa shule ya serikali nenda haraka sana bila kuchelewa.
Utakuja kunishukuru baadae
Itakufundisha kujitegemea kimasomo na kiutafutaji kielimu mapema sana.Kwa nn Mkuu