Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Brightness is not all about love making.Habari yenu wakuu?
Ni miezi 6 imepita tangu niingie kwenye mapenzi na huyu binti,kimwonekano ni mrembo wasura na umbo pia ,rangi nyeupe mtoto amebarikiwa ,ndani ya kipind nilichokuwa nae nimegundua kua ni kati ya mwanawake wachache wenye IQ kubwa ya maisha ,anapambana sana kutafuta life nahis akiwa shemeji yenu au wifi yenu ntajenga ghorofa sio mda mrefu coz kila nikimpatia mtaji faida inaonekana ,na ananpenda xana lakin inshu ni hajui mapenzi ,akifika on bed ni kama google ,hachenji voice note wata respond ,hutulia tu japo najituma kwelikweli ,nimejarib kuonja chai kwingine ni tam sana coz kule naona respond yaani nikiponyeza moja Lazime iandikwe,naomba ushauri niendelee nae au nimwache nichukue anaejua mapenzi na kurespond?
So let us make a deal ......Ryt ?....I jus wanna to conquer the world with one hand But you should hold my other hand ,, Will you ?.Yes,yes,yes,yeeees[emoji7] [emoji7] [emoji85]
Yes,yes,yes,yeeees[emoji7] [emoji7] [emoji85]
Mtafutie erotic sex movie aangalie peke yake.Ndio mkuu,ndugu yako
Duuuh tatzo anakata stim ,ngoma najipigia mwenyew na kuicheza mwenyewKweli tunatofautiana.. Binafsi sipendi mwanamke anayepiga mayowe na pia napenda mwanamke google.. Yani nataka mimi ndiyo nimiliki avionics kuhakikisha ndege inapaa hewani salama na kurudi ardhini salama.
Thread closed!Tatizo wanaume wengi huvamia tuuu kitandabni,no romances !
MTU hakuandai unaishia kuumia tu na kuvumilia!
Katika maumivu unawezaje kubadili tone ya sauti!
Ile kitu ni automatic! Na kwa kuwa sio biashara hawezi kukudanganya kujiliza ,ili iweje!
Mwanamke lazima apate mahisia kwanza ndio mengine yafuate! Usichezeee kusuguliwa kwa nguvu zote na jibaba lililoshiba wakati k imenuna,maumivu yake anayajua anaesuguliwa tu huku wewe ukikazana ukitaka alielie ,katika hali hiyo atawezaje kutabasamu?
Kesho tena akikuona anawaza maumivu ya Jana!
Furaha yote inaisha! Kwanza k haijapona ,na unataka tena!
Waandaeni wake zenu!
Siku moja mfanyie romance mpaka apizi bila kuingiza mashine! Mwache alale kidogo ,mwamshe kwa mabusu na romance taratiiibu huku ukimsifia hapa na pale utaona tuuu tone inabadilika!
Kula vitu taratiiibu sio kwa papara na kusimamia kucha!
Staili nyingi mnazozipenda me huumiza sana k ambayo haijatoka udenda!
Ke wenye akili hufuata mapenzi sio pesanau Mali, vyote hivyo sio isssu! Ila wanauvumilivu kwani hutumia akili!
Yuko tayari aolewe na mshona viatu atakae MPA mpenzi yeye atatafuta pesa namaisha!
Michepuko sio dili ! Tengeneza kwako,utatema big G kwa karanga za kuonjeshwa!
Endelea nae na ikibidi weka ndani kabisa coz ana akili ya maisha, afu kua na mchepuko anaejua mapenzi. Simple tuHabari yenu wakuu?
Ni miezi 6 imepita tangu niingie kwenye mapenzi na huyu binti,kimwonekano ni mrembo wasura na umbo pia ,rangi nyeupe mtoto amebarikiwa ,ndani ya kipind nilichokuwa nae nimegundua kua ni kati ya mwanawake wachache wenye IQ kubwa ya maisha ,anapambana sana kutafuta life nahis akiwa shemeji yenu au wifi yenu ntajenga ghorofa sio mda mrefu coz kila nikimpatia mtaji faida inaonekana ,na ananpenda xana lakin inshu ni hajui mapenzi ,akifika on bed ni kama google ,hachenji voice note wata respond ,hutulia tu japo najituma kwelikweli ,nimejarib kuonja chai kwingine ni tam sana coz kule naona respond yaani nikiponyeza moja Lazime iandikwe,naomba ushauri niendelee nae au nimwache nichukue anaejua mapenzi na kurespond?
Kwa hyo rangi nyeupe mtoto kabarikiwa,hvyo rangi nyeusi mtoto kalaaniwa,ok sawa!Habari yenu wakuu?
Ni miezi 6 imepita tangu niingie kwenye mapenzi na huyu binti,kimwonekano ni mrembo wasura na umbo pia ,rangi nyeupe mtoto amebarikiwa ,ndani ya kipind nilichokuwa nae nimegundua kua ni kati ya mwanawake wachache wenye IQ kubwa ya maisha ,anapambana sana kutafuta life nahis akiwa shemeji yenu au wifi yenu ntajenga ghorofa sio mda mrefu coz kila nikimpatia mtaji faida inaonekana ,na ananpenda xana lakin inshu ni hajui mapenzi ,akifika on bed ni kama google ,hachenji voice note wata respond ,hutulia tu japo najituma kwelikweli ,nimejarib kuonja chai kwingine ni tam sana coz kule naona respond yaani nikiponyeza moja Lazime iandikwe,naomba ushauri niendelee nae au nimwache nichukue anaejua mapenzi na kurespond?
Deal...So let us make a deal ......Ryt ?....I jus wanna to conquer the world with one hand But you should hold my other hand ,, Will you ?.
[emoji109] [emoji120] pokea nazawadi[emoji160]Deal...