Ushauri;she is very bright lakin hajui mapenzi

Mlete kwangu nimpe somo,
"how to be romantic and satisfied"

Harespond kwasababu na wewe humfikishi anapopataka.
 
Kawaida ya wanawake wote wenye IQ kubwa ni hiyo. Mapenzi kwake ni kama dhalili. Yaani huwa wanafeel power ya nguvu kama wanaume sasa alie kitandani ili? Hawalii hao na hawapendi unachowafanyia anakubali tu kwasababu yagenye na kukuridhisha wewe ila kule mbeleni akiwa super power atakuwa anakunyima.
Hao huwa ni wanaume kasoro injini tu. Wengi wao hujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
 
Mfundishe! Au mtumie zile movie zenu aone gemu linavyotakiwa kuwa... Hasipojibadilisha basi ana tatizo akilini...
 
Uliyempata ni moja ya wanawake adim sana kupatikana. Mtunze mshikilie, na mtafika mbali. Hiyo ni baraka maana madem wengi sikuiz akili hawana
 
Kweli kuna mismatch katika interest.

Kuna watu humu they need a business partner kuliko mpenzi

Kuna watu wanataka mpenzi kuliko bussiness partner.

Like you, sasa hufurahishwi unafikia hatua hata ya kumuacha. Ukimuacha ukipata mwingine utakuta mzuri kwa bed, kiuno feni but in other areas kama kwenye biashara anakupa loss, mchafu, maybe hana haiba nzuri.

Nafikiri, tunatakiwa tujenge tabia ya kuridhika na wapenzi/ wake zetu tunaowapata. Tuchukulie stregth zao kama blessings tushukuru, na pia tuchukulie udhaifu wao kama chachu ya mabadiliko katika maisha yenu.

Naamini, hakuna raha nzuri kama kufikia hatua umeridhika na mtu, na kuamua ku devote time na akili yako kumbadilisha na yeye kubadilika. Inapendeza

All in all, mapenzi hufundishwa, mfundishe...! It takes time, inahitaji uvumilivu, na moyo na juhudi. Jaribu kutumia vitabu vya kamasutra na video zake one day you will enjoy.

Kuchepuka ni ujinga, acha. Hamna faida zaidi unaweza kumletea magonjwa tuu huyo mpnz wako.
 
sumbai [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Daa poa poa ntavumilia
 
Angalizo Akiujua Huo Mchezo Atatoroka Kambi

So Fanya Haree Up Muowe Muweke Ndani Mpe 3times Pregnancy Akipumzka Kidgo

Unampa Nyingine hapo Ndiyo Utaishi Naye Kwa Amani Aza wise
Tusubirie kitimoto Kuanguakia Kwa Muuza Supu.
Yupo kwangu mkuu japo nimetoa hela ya barua tu ,mahari baadae
 
Kuwa na huyo mwenye IQ kubwa kama mke afu tafuta kilaza mmoja demu anayejua mapenzi tu awe mchepuko wako
Sawasaw mkuu maana mwanaume Lazima kuchepuka ila naogopa nisije kunogewa nyumba ndogo
 
Dr love ,thanxs
 
Yupo kwangu mkuu japo nimetoa hela ya barua tu ,mahari baadae
We Unafikiri Akiwa Kwako Ndiyo Umemuweka Gundi Haganduki
Watu Wananyang'anywa Matonge Mdomoni Kila Siku

We Unaogopa Nini Kumtia Mimba huyo Or Hujajiandaa Kulea ? Bado Unamchunguza ? Or Sperm ni Michuzi Michuzi?
Amini Amini Nakwambia Wakati Ni Rafiki Mzuri Atakuacha Mdomo Wazi Siku na saa Usiyotegemea

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Km ana akil za maisha endelea nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…