Ushauri: Shafii Dauda asifike kwenye mechi za Simba,kuna siku utapewa kichapo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,716
Screenshot_2019-01-16-15-24-26.png

Huu ni shauri wa bure kabisa. Sio sheria,hutaki unaacha

Nimefuatilia ghazabu za mashabiki lialia wa Simba dhidi ya Shaffi Dauda na kuona tunakoelekea sio kuzuri.

Shaffi ameonekana kuwaudhi zaidi mashabiki baada ya kutumia vibaya Clouds kutukana mashabiki na kuivunja moyo timu ya Simba.

Katika hali inayoendelea naona kila dalili huyu bwana kupewa vitasa na mashabiki. Ipo siku atachezea kichapo tu.

Namshauri achukue tahadhali hii.
 
Shaffih anatafuta followers, na ni kweli kun watu watampa kichapo siku si nyingi iwe #Trending news!
 
Mkuu yupo kongo, na jana alikuwa kwenye mazoezi na wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi na wajumbe.
 

Attachments

  • Screenshot_2019-01-18-21-44-08.png
    Screenshot_2019-01-18-21-44-08.png
    185.4 KB · Views: 19
Mkuu yupo kongo, na jana alikuwa kwenye mazoezi na wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi na wajumbe.
Kuwapo kwake Kongo haimaanishi kwamba hajaandika ujumbe huo. Yupo kule kama mwandishi wa habari, si kama mwana Simba. Viongozi ni weledi, hawawezi kumtenga Mtanzania mwenzao ugenini hata kama wanajua akitoka hapo ataandika kuiponda Simba. Ni sawa mwandishi wa habari wa Tanzania Daima kuwapo kwenye msafara wa JPM, hawezi kuzuiwa. Lakini kwa kutokuzuiwa haimaanishi msimamo utabadilika, au waliombeba wanampenda
 
Back
Top Bottom