DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kuna utamaduni gani huko?kimboka buguruni kuna utalii wa kutosha
Usiangaike, wapeleke kijitonyama Makumbusho village kiingilio bure tu.Amani iwe nanyi! Nina wageni wanaotafuta sehemu za kutalii wakiwa hapa Dar es Salaam na viunga vyake.
Wapi mnashauri waende? Hawa watu siyo spenders kihivyo, wanataka tu sehemu zinazoonyesha utamaduni, mila na historia yetu.
Natanguliza shukrani.
Sabaseven fungua pm yako kunakitu naitaji kukutumia kama utajalAmani iwe nanyi! Nina wageni wanaotafuta sehemu za kutalii wakiwa hapa Dar es Salaam na viunga vyake.
Wapi mnashauri waende? Hawa watu siyo spenders kihivyo, wanataka tu sehemu zinazoonyesha utamaduni, mila na historia yetu.
Natanguliza shukrani.
Sabaseven fungua pm yako kunakitu naitaji kukutumia kama utajal
Bado umefunga ebu ntumia wew kwanza pmMbona sijaona kitu mzee?
Nitumie pm zen mim nita replay mana wew umefungaMbona sijaona kitu mzee?
Nitumie pm zen mim nita replay mana wew umefunga