===kwakuwa wewe ushapata ndiyo umeona watumbuliwe
ngoja wengine tupate kwanza, halafu sio kweli kwamba ukienda leo kesho unapata nakataa kwa nguvu zote
kuhusu swala hilo hata mipakani wanafanya hivyo hivyo===
Jaribu kuongeanao kikubwa uone kama hupati kesho yake...
Ukiambatanisha na cha juu unapata ndani ya masaa tukwakuwa wewe ushapata ndiyo umeona watumbuliwe
ngoja wengine tupate kwanza, halafu sio kweli kwamba ukienda leo kesho unapata nakataa kwa nguvu zote
Nawasalim wakuu,
Nimekuwa mara zote nikipata shida sana kuhusu utendaji kazi wa RITA. ni kwamba, kila anayepeleka hoja ya kupata cheti cha kuzaliwa hupata bila kufanyika utaratibu wa kutafiti kama kweli ni raia au la.
Madhara yake ni kwamba hatuwezi kuwa na hakika kwamba kila anayejinadi kuwa ni mtanzania ni kweli anahaki yakuwa mtanzania. Ukienda RITA leo ukaongea na jamaa unaweza kupata cheti hata kesho bila kupeleka evidence yoyote authentic. kismsingi cheti cha kuzaliwa ni record nyeti sana. Inakupa haki zote za tanzania kuanzia pasport na kitambulisho cha taifa. Pia kinakuruhusu kufaidika na kila service ya serikali ikiwemo kushika nyadhifa yoyote ile...
Kwakua ni jipu la mda mrefu, nashauri ifanyike reform katika hili. tuangalie jinsi bora ya kudhibiti upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa. Tuwabadili wasimamizi lakini pia kuwe na audit sio ya kifedha bali operation audit... ni bora NIDA waongezewe madaraka au waunganishwe na uhamiaji so dhat kusiwe na gaps zinazowezesha records zetu kutokuwa consistent....
Nawasilisha,
Nangu Mandokwa
Wewe sio m-Tanzania na hata jina lako linaonesha asili yako.Kwan wagen wakipewa vyeti vya kuzaliwa tatizo ni nn
Uhamiaji ndipo kuna Shida wamegawa passport za Tanzania kwa wageni wanaijeria waghana na Nchi za huko Africa magharibi matokeo yake wengi wakikamatwa na Unga china jina la Tanzania linachafuka zaidi matokeo yake watanzania hawaaminiki popote Duniani kumbe passport zao zinatumiwa na wageniMleta UZI pamoja na Archduke wote nawaunga MKONO...!!
Wageni/Wakimbizi wote, halali na haramu, kwa pamoja wanasifia MIFUMO yetu MIBOVU jinsi inavyo wawezesha kupata NYARAKA/HATI/VYETI mbalimbali pasipo uhakiki wa KINA. mfano Leseni za Udereva, Kadi ya kupigia Kura, Kitambulisho cha Uraia na Vyeti vingine mbalimbali, mambo/taratibu za upatikanaji wa vitu hivi ziko HOLELA kwelikweli....!
Ni BORA Mifumo ikabadirishwa ama kuunganishwa na idara ya UHAMIAJI (kama alivyopendekeza mchangiaji hapo juu)
Kidogo inaweza kuleta UFANISI...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ujerumani uone kama utapata hicho cheti. Hata kama umezaliwa humo lkn hujafuata masharti yao wanayoyahitaji , utaishia patupu. Tunazichezea sana nyaraka za taifa.
Pia kinakuruhusu kufaidika na kila service ya serikali ikiwemo kushika nyadhifa yoyote ile...
====Kaka kuna kitu unakosea, Cheti cha Kuzaliwa sio hati ya uraia, yoyote anayezaliwa Tanzania ana haki ya kupata cheti cha kuzaliwa, awe Mtanzania, Mkenya, Msomali nk,
Mgodo visa ,