USHAURI: Rais Samia Suluhu amteue Joseph Magufuli kuwa Mbunge na Waziri

Sidhani
 
Kima
 
Sawa ni jasiri na wapo vijana wengi ambao ni jasiri na wenye uwezo wa kuongea mbele ya mamilioni ya audiences na points za maana mm ni mmoja wapo, na wengine waliopo humu pia na hata ww nadhani but mtu hawezi Sema just bcos basi ndo mtu apewe wadhifa haya mambo ndo yana fanya kuwe na VIONGOZI wapuuzi ambao hawakupitia vetting bali nepotism nakukoroga taifa
 
Tena ukome kutuambia kuwa rais Magufuli alikuwa kipenzi cha watanzania wote na Dunia kwa ujumla
 
Haya mambo ya kujumuisha watu wote sijui tutayaacha lini. Bora kusema tu baadhi ya Watanzania walikuwa wanampend hayati Magufuli.
Nyongeza ya hilo unajumuishaje dunia nzima, wakati kuna watu wa mataifa kibao hata hawamjui hayati Magufuli.


Hivi utahuzunika kwa mtu ambaye humjui na kuhitaji faraja kweli pindi anapofariki?
Kuhusu teuzi, hakuna uteuzi unaofanyika kwa hisani. Yeyote akionekana kuwa anafaa kwa kazi fulani atateuliwa tu bila kuegemea mrengo wowote ule iwe ukanda, dini, ukabila, rangi.
 
Si kweli kwamba mtu akiongea mara moja tena kwa hoja za jumla ambazo kila mtu anaweza kuongea ndio mtoa mada ukatambua uwezo wa Joseph, kwanza alikuwa anaongea kwa kusitasita na anaonekana ni mgeni wa majukwaa. Huenda pia hataki kabisa siasa ndio maana amekuja kuonekana nyakati za msiba, ni kijana asiyependa makuu kwa muonekano lakini huwezi jua ya moyoni.Tumwache apambane mwenyewe madam kasafishiwa njia.
 
Haswaa, ni mawazo ya kijinga kutoka kwa mjinga mmoja. Hatuwezi kugawa nafasi za uongozi wa nchi kwa kufarijiana na kufutana machozi. Tuache wenye uwezo wapate nafasi.
Kipuudhi

Kipuuzi
Mbona mambo haya yanatendeka katika nchi hii kwa muda mrefu sana lakini hujawahi kukemea mkuu? Kwanini ukemee leo?
 
Vijana mnajipendekeza sanaaa mpaka mnakeraaaa, Pumbavuu yaani watu walioachiwa urithi wao mpaka wa wajukuu ndio wateuliwe kwanini sio vijana wengine? Acha uhananga na kujipendekeza wewe
 
Tujiombeee wenyew jamani..mwenzetu huyo hata usipomuombea teuz tayar ana cv ya kuchaguliwa...baba kuwa RAis Ni cv tosha
 
Labda atapata cheo. Mama Samia anaweza kutaka kulipa fadhila. Mama Samia labda anawaza,"Magufuli kanitoa jalalani."
Lakini bidii kubwa ilikuwa inafanyika kumficha yule asionekane,asijulikane. Pamoja na kumficha Jessica. Pamoja na kumficha Mama Janeti. Na sasa,all of a sudden Magufuli amefariki dunia,hawa watu unataka wajitokeze.
I have no comment.
 
Ubongo wako Umeoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…