Ushauri: Rais mteue Tundu Lissu awe Mwanasheria Mkuu wa Serikali

MJITA HALISI 176

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
537
146
Bila kujali utofauti wa vyama Kama sheria inaruhusu basi nakuomba rais wetu wa Jamuhuya ya Tanzania umteue Mh tajwa hapo juu awe mwanasheria mkuu wa serikali yako.

Hii ni kutokana na uwezo wake alioudhihirisha katika mjadala wa Escrow uliojitakeza katika bunge lako tukufu LA kufunga mwaka-November 2014, hapa kila MTU aliona uwezo wa lisu katika kudadavua masuala ya kisheria.

Natoa HOJA.
 
JK akisikia jina la LISSU anawashwa mwili mzima, itakuwaje pale atakapokuwa anatamka jina lake, kumwapisha na hata kufanya kazi pamoja naye ikiwa nia pamoja na kupokea ushauri wake...
 
Kama aliwapiga kampeni kwamba wana Singida Mashariki wasimpe Lissu kura, bora wampe Slaa za urais. Alikuwa hatanii anajua jamaa si wa mchezo. sembuse ampe u AG!!
 
Hapo sio mwanasheria mkuu anawalaza na viatu akiwa mwanasheria mkuu si ndio atawalaza na wima
 
Wana body napendekeza mwanasheria mkuu wa serikali awe ndugu ANTIPAS.baada ya huyu fisadi kujiuzulu ateuliwe TUNDU LISSU kuwa mwanasheria mkuu, kwani huyu jamaa ni mkali kwenye suala zima ya sheria
 
Wana body napendekeza mwanasheria mkuu wa serikali.baada ya hyu fisadi kujiuzuli ateuliwe TUNDU LISSU.awe mwanasheria mkuu kwani huyu jamaa ni mkali kwenye suala zima ya sheria
kuku hawezi kumpanda bata!
 
Mkuu Hilo mi wazo zuri Ila kwa CCM Ni sawa na kuwaambia Eti JK Ni dhaifu......hakuna atakayekuelewa,jamaa akiteuliwa Leo kuwa AG wawekezaji wote Bila kuambiwa wataipeleka mikataba ofcn kwake huku wakimuambia mzee unajua Tumeipitia hii mikataba tukaona kasoro fulani Ndio tumekuja kurekebisha.........Lissu Ni hatari.
 
Bila kujali utofauti wa vyama Kama sheria inaruhusu basi nakuomba rais wetu wa Jamuhuya ya Tanzania umteue Mh tajwa hapo juu awe mwanasheria mkuu wa serikali yako.

Hii ni kutokana na uwezo wake alioudhihirisha katika mjadala wa Escrow uliojitakeza katika bunge lako tukufu LA kufunga mwaka-November 2014, hapa kila MTU aliona uwezo wa lisu katika kudadavua masuala ya kisheria.

Natoa HOJA.

Labda iwepo Jamhuri ya Vichaa ndo atafaa
 
Bila kujali utofauti wa vyama Kama sheria inaruhusu basi nakuomba rais wetu wa Jamuhuya ya Tanzania umteue Mh tajwa hapo juu awe mwanasheria mkuu wa serikali yako.

Hii ni kutokana na uwezo wake alioudhihirisha katika mjadala wa Escrow uliojitakeza katika bunge lako tukufu LA kufunga mwaka-November 2014, hapa kila MTU aliona uwezo wa lisu katika kudadavua masuala ya kisheria.

Natoa HOJA.

apewe u AG ili ugundue nini...!!
 
Wanamtandao watamuona jk kawasaliti. Maana bila wao hata urais asinge upata. Na ndiyo maana anashindwa kutoa maamuzi magumu.
 
Alietoa hoja ajakosea. Nchi zenye demokrasia ya upinzani ya kweli raisi anaweza kumteuwa mtu kutoka chama pinzani katika serekali yake ilikuonheza imani kwa wapinzani. Tatizo serekali hii ya awamu ya nne imewekwa na wanamtandao ambao serekali kwa ni kama malaya wanaemtumia kuingiza hela kwenye danguro lao na hawataki watu wenye mdomo
 
Bila kujali utofauti wa vyama Kama sheria inaruhusu basi nakuomba rais wetu wa Jamuhuya ya Tanzania umteue Mh tajwa hapo juu awe mwanasheria mkuu wa serikali yako.

Hii ni kutokana na uwezo wake alioudhihirisha katika mjadala wa Escrow uliojitakeza katika bunge lako tukufu LA kufunga mwaka-November 2014, hapa kila MTU aliona uwezo wa lisu katika kudadavua masuala ya kisheria.

Natoa HOJA.

Mleta mada acha utani kabisa, toka lini mwanga na giza vikakaa pamoja?.
 
Back
Top Bottom