evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,977
- 9,925
Ni jamaa yangu mimi mtoto wangu wa kwanza ana miaka 11 tena wa kiume nilichelewa kuzaa.Ni jamaa yako au ni wewe?
Be specific.
Sio mimi mkuuKwa ulivoelezea bila shaka ni Wewe acha janja janja
Ni ajabu kidogo kwani hata hiyo posa yenyewe hata hataki watu wengi wafahamu .yan anajua bintiye bado mdogo, ana mpango wa kumpeleka veta, binti anashangaa hao watu hawajui ila bado baba mtu anajiuliza akubali au akatae 😀😀😀😀 ni ajabu
Huyo binti ni wewe ?Ushauri unahitajika.
Kuna jamaa yangu aliwahi kuzaa anabinti mwezi wa 9 mwaka huu anafikisha miaka 18 huyo binti alimaliza form 4 mwaka 2024. Hakufaulu yupo nyumbani.
Sasa juzi kuna jamaa walikuja nyumbani kwake wakaleta post kwamba kuna kijana wao anataka kumuoa huyo binti wake wakaeleta posa pamoja na sh laki moja.
Sasa jamaa analalamika kwamba binti yake bado mdogo.
Hako kabinti mi mwenyewe nakafahamu bado kana akili za kitoto kabisa .
Jamaa kamuuliza binti yake kasema huyo mtu hamjui kameambiwa kuhusu kuolewa kenyewe kamaebaki kushangaa hakaelewi.
Sasa jamaa kapokea posa majibu hajawapa .
Sasa jamaa anasema alikuwa na mpango ampeleke huyo binti veta akasomee mambo ya mapambo na urembo ilinawe anasaidia kazi na mke wake (mama wa binti) ambaye ana saluni ya kike.
Wamepata taarifa kwamba huyo kijana anaendesha Balaji .
Sasa anajiuliza akubali hiyo posa au aikatae .
Jamaa yupo ana saluni ya kunyoa wanaume anaishi kwenye nyumba yake anawatoto wengine 3 wa mwisho anamiaka 3
Ninakaribia robo 3 ya umri wa huyo binti hapa JF kwa akaunti hii nina akaunti nyingini ina zaidi ya umri wa huyo mtoto hapa jf .Huyo binti ni wewe ?
Hata mimi sielewi sijajua utaratibu wao ni mhehe,Kama Binti hamjui Muoaji, huyo Jamaa yako amepokea Posa Kwa Nini?
Kwanini uliachana na issue za kuja kuwa baba paroko mzee 🤔Ni jamaa yangu mimi mtoto wangu wa kwanza ana miaka 11 tena wa kiume nilichelewa kuzaa.
Kutokana na shule I am a seminarian nimesoma hadi philosophy pale salvatorian institute of philosophy and theology ndio nikaachana na seminary nikaenda udsm
Chukua laki yako kanywe BiaNi ajabu kidogo kwani hata hiyo posa yenyewe hata hataki watu wengi wafahamu .
Mimi binafsi jioni nikimaliza kazi zangu nitamtafuta nimwambie awarudishie jamaa laki yao.
Yaani seriously hako kabint bado kadogo