Ushauri please

Kisa kama hiki kilimtokea shangazi yangu 30 yrs ago huyo baba alioa mke mwingine na wa dini tofauti na yake! Yaani ni kama amelaaniwa na kizazi chake hao watoto aliozaa na mkewe hakuna hata aliefika form 4. Na huyu wa shangazi yangu ni Dr. mzuri sana
Alirudi kuomba msamaha kwa shangazi na mwanae but ni too late! Mwanae hamuelewi maana hawako close. Ameamua kurudi kwa dini yake ya awali ila ndio mlevi kupindukia.
Katika maisha ya binadamu malipo ni hapa hapa dunia.
 

hivi hii kuacha mke mume then mwisho mbaya inasababishwa na nini, maana kuna mifano na mastori mengi
 
Eti mrsleo Hebu niambie inakuaje mdada mpaka unahamia kwa mwanaume hali yakua hata ndoa hujafunga naye? Halafu na mimba unabeba. Hivi inakuaje?

Kwanini haukumfukuza alivyokuja kuhamia kwako? Hiko kitu kilichokufanya ukae nae mpaka mlivyotunga mimba ndio jibu la swali lako.
Una makosa kama na yeye alivyo na makosa.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada unahangaika bure.
Hizo hisia kwa chepuko wako ni za muda mfupi.
Maisha ni zaidi ya hizo hisia unazohisi sasahivi.
Natutakia kheri kwenye maamuzi yako, usije kujutia baadae.
 
Eti mrsleo Hebu niambie inakuaje mdada mpaka unahamia kwa mwanaume hali yakua hata ndoa hujafunga naye? Halafu na mimba unabeba. Hivi inakuaje?

Wanacheza bahati nasibu lakn matatizo yake ndo kama haya mwanaume hata kaa akuchukulie criaz na ni rahisi kufanya maamuz yoyote yale bila kujali
 
Last edited by a moderator:
Umeshakaa na mdada wa watu mda mlefu mpka umemzalisha unataka umuache kisa vibinti vya mtaani! y km ulikuwa humpendi ukawa unaishi nae? ushamwaribia future yake sa ivi eti humpendi! badiliken jaman.
 

Kaka yangu am sure huyo mwingine atakuwa anajua fika kwamba jamaa ana mtu anaeishi nae na wamezaa lakn wanawake wa cku hiz hawajali hilo ndo mana kuna lindi kubwa la wasichana wanaotembea na waume za watu na akiambiwa namtoa mwenzio ww uingie ndo furaha yao wanapishaba tu kwa waganga
 
hivi hii kuacha mke mume then mwisho mbaya inasababishwa na nini, maana kuna mifano na mastori mengi

Ni Mungu, yaani tutajikweza kama sisi binadamu ila kuna aliye juu yetu, yaani ukimuumiza mtu innocent na akalia kwa uchungu ujue hayo machozi yoote utayalipa kabla hujafa na kuna wengine huwa inakwenda mpk kwa kizazi chao chote yaani watoto na wajukuu zako.

Cha muhimu tuwe tunaomba sana kama kuna dhambi walitenda wazazi wetu Mungu atuepushie.
 

Huyo mwanamke ambae anakwenda kujiingiza kwa mume wa mtu anamatatizo ya akili!
 
kama unahisi unachokifanya ni sawa mwambie ukweli huyo dada uliyemzalisha! aibu yako wewe.
 
Umeshakaa na mdada
wa watu mda mlefu mpka umemzalisha unataka umuache kisa vibinti vya
mtaani! y km ulikuwa humpendi ukawa unaishi nae? ushamwaribia future
yake sa ivi eti humpendi! badiliken jaman.

wabadilike tena sana tu! manake wanaboa mbaya.
 
Yaani mimi nimeishia kusoma paragraph ya tatu tu, nikahisi kichefu chefu! Hebu acha kutuchafua wanaume wenzako, endelea na uoe huyo mzazi mwenzako. Umemuharibia nini shape yake? Unachopaswa kujua ni kwamba what goes around comes back around, chunga usijejuta bure! Ukimkosea huyo binti MUNGU atakuadhibu tu, tena kupitia kwa huyo mal.ya mwenzako
 
Mi sipendi kabisa wanaume wasiojielewa, unadhani utamfanyia fea dada wa watu? bora ungemwacha akae kwao tu
 

Acha uharibifu!
 
Hutendi haki mazee hawa wanawake wapo tu na wazuri utawaona kila siku na kila utakae kua nae atakua mbaya fikiri ungekua ni wewe ungejickiaje huo ni ubinafsi muheshimu mzazi mwenzio.hakina kitu kibaya kama kumtesa mtoto wenu kwa mambo yako binafsi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…