Ushauri please

zamboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
364
Reaction score
180
Nna rafiki yangu ana ishi mkoani, ana girlfriend wake anasoma chuo flani cha diploma, sasa kwa bahati mbaya au nzuri jamaaa amempa mimba huyo binti, na mimba kwa sasa inakama wiki mbili. Ila jamaa na mpenz wake wamejadiliana wame amua bora waitoe hyo mimba..
Ila kabla hawajatoa jamaaa amekuja kuniomba ushauri kua is it safe kufanya abortion? Binafsi kwasbabu sina ujuzi juu ya hlo, nimeonelea bora nikalileta hlo suala humu ili niweze kupata ushauri wa kumpa.
So if u have any useful advice pls share
 
vijana mkiambiwa mtumie mipira kufanyia ngono zenu.. mnagoma!

kuweni waangalifu, wasikivu na werevu... mkipenda sana ngono mtaungua!

credit; TMK wanaume family!
 
Nakushaur na kukuonya kbsa kuwa swala la utoaj mimba ni hatar kbsa unaweza ukapata matatizo ya kiafya kwa sasa ama baadae huko mbeleni, pia mbaya zaid kutoa mimba ni uuaji dhahir kabisa so akitoa ajiandae pia huko mbeleni kupambana na raana za utoaj w mimba. mfano kuna kipind ata taka sana watoto alafu hatopata hata m1. So waambie watafute namna nyingine couz abortion is not & will never be an option
 
Ngoja nkutukane kidogo @$#%&$^~.
Eti hujui madhara ya abortion.
Kuna watu mna ubongo wa kondoo.
 
Excel with all due respect unaweza kutoa hiyo picha??
please nakuomba
 
Last edited by a moderator:
Ni wew huyuo usimsingizie rafiki yako, badala ya kusoma wanawaza mambo ya kikubwa sasa ona kinachotokea,sasa muilee hiyo mimba
 
Mimba ina kama week mbili? ina maana ndio imetungwa? wamejuaje? maana unaweza kujua baada ya week mbili
 
jaman wakati mnagegedana kavu kavu mwisho wa siku huwa mnategemea nin????? uwezo wenyewe wa kulea kushneh! hv kuna mtu asiyejua madhara ya abortion? huyo mtu kishafanya maamuz tayar ila hapa anatafuta wa kumuunga mkono.
 
Week mbili hata M.P hajamiss washaconclude ana mimba na kuamua kuitoa duh hiki kizazi kazi ipo.
 
jaman wakati mnagegedana kavu kavu mwisho wa siku huwa mnategemea nin????? uwezo wenyewe wa kulea kushneh! hv kuna mtu asiyejua madhara ya abortion? huyo mtu kishafanya maamuz tayar ila hapa anatafuta wa kumuunga mkono.

vijana huwa wanafurahia sana kupiga bao... hawajui kuna madhara hawa! they think after!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…