Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,578 Mar 24, 2017 #21 Hakuna anayemuacha mtu bila sababu, lazima kuna sababu.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,810 Reaction score 55,585 Mar 24, 2017 #22 Jiongeze tafuta mwingine
themanhimself176 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 1,837 Reaction score 2,929 Mar 24, 2017 #23 Eti hana thamani mbona ajiamin huyo dada Mtu wa namna iyo wa nini sasa tupa kule tafuta miss chaga yuko na mapenzi ya dhati Ukimuendea na mapenz ya laki anakubakisha na mapenzi ya buku
Eti hana thamani mbona ajiamin huyo dada Mtu wa namna iyo wa nini sasa tupa kule tafuta miss chaga yuko na mapenzi ya dhati Ukimuendea na mapenz ya laki anakubakisha na mapenzi ya buku