daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,480
- 3,403
Zipo madukani karakoo au postaHizi simu Tanzania zinapatikana duka gani?
Tanzania ni Nchi ya kiwanda cha tecno
Kama Unataka kuenjoy 4G ya halotel simu zote nzuri za Hapo juu hazina band Yao, Kuna redmi note 7 ina cover band zote za Tanzania, na Hata hizi A series za Samsung pia zipo vizuri hili eneo.Baada ya kushindwa kununua galaxy S10e kwa sababu ya bei,nimepata pesa kidogo ninayoweza kununua simu hizi;
1.Honor 10 lite
2.Huawei y7 pro
3.Redmi note 8
4.Lenovo z6 lite
5.Realme q
Naimba kwa mwenye uzoefu na hizi device, nichukue ipi?
Bei ina range 298K - 365K aliexpress
Baada ya kushindwa kununua galaxy S10e kwa sababu ya bei,nimepata pesa kidogo ninayoweza kununua simu hizi;
1.Honor 10 lite
2.Huawei y7 pro
3.Redmi note 8
4.Lenovo z6 lite
5.Realme q
Naimba kwa mwenye uzoefu na hizi device, nichukue ipi?
Bei ina range 298K - 365K aliexpress
Mkuu bila kupepesa macho wala kuwaza chukua redmi note 8 hiyo ni mashine balaa achana na huo uchafu mwingine...Baada ya kushindwa kununua galaxy S10e kwa sababu ya bei,nimepata pesa kidogo ninayoweza kununua simu hizi;
1.Honor 10 lite
2.Huawei y7 pro
3.Redmi note 8
4.Lenovo z6 lite
5.Realme q
Naimba kwa mwenye uzoefu na hizi device, nichukue ipi?
Bei ina range 298K - 365K aliexpress
Nataka niachane na tecno na itelHizi simu Tanzania zinapatikana duka gani?
Tanzania ni Nchi ya kiwanda cha tecno
Nahamia XiaomiNataka niachane na tecno na itel
Asante kwa ushauriKama Unataka kuenjoy 4G ya halotel simu zote nzuri za Hapo juu hazina band Yao, Kuna redmi note 7 ina cover band zote za Tanzania, na Hata hizi A series za Samsung pia zipo vizuri hili eneo.
Kama internet si muhimu Sana kwako specs wise hio Realme Q Ni nzuri Kushinda zote sema nje ya China inafahamika Kama Realme 5 pro na China ndio Realme Q, kuwa makini usije kuuziwa simu isio na playstore.
Ushauri wa busara namna nilijua tu utatoka kwa Chief-Mkwawa [emoji122], tunajifunza na tusiouliza.Kama Unataka kuenjoy 4G ya halotel simu zote nzuri za Hapo juu hazina band Yao, Kuna redmi note 7 ina cover band zote za Tanzania, na Hata hizi A series za Samsung pia zipo vizuri hili eneo.
Kama internet si muhimu Sana kwako specs wise hio Realme Q Ni nzuri Kushinda zote sema nje ya China inafahamika Kama Realme 5 pro na China ndio Realme Q, kuwa makini usije kuuziwa simu isio na playstore.
Mkuu hizo Redmi Note 7 na note 8 zote naona zina IPS Display au hio display ipo safi tu..? Mimi nimezoea Super Amoled ya J7 Pro kwa mtazamo wako unaonaje hapo?Kama Unataka kuenjoy 4G ya halotel simu zote nzuri za Hapo juu hazina band Yao, Kuna redmi note 7 ina cover band zote za Tanzania, na Hata hizi A series za Samsung pia zipo vizuri hili eneo.
Kama internet si muhimu Sana kwako specs wise hio Realme Q Ni nzuri Kushinda zote sema nje ya China inafahamika Kama Realme 5 pro na China ndio Realme Q, kuwa makini usije kuuziwa simu isio na playstore.
j7 pro ina kioo kizuri zaidi, ngumu sana kukuta simu yenye kioo kizuri kuliko super amoled,Mkuu hizo Redmi Note 7 na note 8 zote naona zina IPS Display au hio display ipo safi tu..? Mimi nimezoea Super Amoled ya J7 Pro kwa mtazamo wako unaonaje hapo?
Kutumia 3G kusiwe sababu ya kukufanya uwe outdated uendelee kununua simu za 3G tu je siku mitandao ikiboreshwa itakubidi ununue tena simu ya 4G?Asante kwa ushauri
Natumia halotel 3G huku kijijini hakuna 4G
Kama Unataka kuenjoy 4G ya halotel simu zote nzuri za Hapo juu hazina band Yao, Kuna redmi note 7 ina cover band zote za Tanzania, na Hata hizi A series za Samsung pia zipo vizuri hili eneo.
Kama internet si muhimu Sana kwako specs wise hio Realme Q Ni nzuri Kushinda zote sema nje ya China inafahamika Kama Realme 5 pro na China ndio Realme Q, kuwa makini usije kuuziwa simu isio na playstore.
Band Yao Ni 2600 band 7Mkuu halotel nw wana4g. Band yao ni ipi nijaribu kujua kifaa changu kam kinakidhi kuipata 4G ya halotel pia nifanye research nihamie huko
Xiaomi ipiNahamia Xiaomi
Kama kawaidahuawei bado zinapiga kazi??