Naona umeongezea nyamatu kwenyempango wa kununua kiwanja,na walasioni kama ni biashara kichaa kamaunavyoiita.Mkuu nakushauri weka 1mil pembeni na itakayobakia fikiria biashara ya kufanya ambayo itakuwa na returns hatakama ni kidogo kisha ukiimudu utaongezea mtaji. Achana na wanaokushauri kiwanja. Unless kama una shughuli inayokuingizia kipato kwasasa na huna muda wa kuanzisha biashara. Kiwanja kitakaa hapo na mwisho wa siku utaishia kukiuza japo kwa bei ya juu lakini haina tofauti sana na thamani ya hiyo hela kwasasa.. Mfano 2mil kwasasa inawezakuwa na thamani sawa na 5mil miaka mi 5 ijayo. Wanaowekeza kwenye ardhi wengi wana mkwanja wa kutosha au wana biashara nyingine au ajira. Au kama vipi fanya kama ni biashara, ununue hicho kiwanja na ukiendeleze kisha ukiuze fasta na kununua kingine. Iwe ndo biashara yako.
Kununua kiwanja unaita ni biasharakichaa?.Biashara kichaa hiyo mkuu. Inamaana ndani ya miaka mitano atakuwa kapata faida ya 3mil ambayo ni sawa na 50k kwa mwezi. Wakati huo 3mil haitakuwa na thamani sawa na sasa.
Narudia tena na kusisitiza kuwa kununua kiwanja na kukiacha eti baada ya miaka kadhaa kipande bei ndipo uuze ni kutwanga maji kwenye kinu. kwani hata auze 5mil miaka mi 5 ijayo bado 5mil hiyo ndo atakayohitaji kama anataka kununua tena kiwanja kingine. Hivyo haitakuwa imemwongezea hata idadi ya viwanja. Afanye biashara ya bodaboda yeye mwenyewe au biashara nyingine yoyote au biashara ya viwanja kwa kuviendeleza na kuuza ndani ya muda mfupi ikiwezekana hata miezi kadhaa.Naona umeongezea nyamatu kwenyempango wa kununua kiwanja,na walasioni kama ni biashara kichaa kamaunavyoiita.
Ok kwa wazo langu mm hela inatakiwa uizungushe ili ikuongezee mtajiwakoHapana sina biashara nyengine mkuu, nipo napiga kazi tu za kuajiriwa pia sina mpango wa kujenga kwa sasa maana sina pesa.
Na nikinunua bodaboda ndani ya mwaka itakua imenirudishia pesa yangu na faida kama ya 1mil tu
Boda boda ni pasua kichwa utachanganyikiwa na kuzeeka ubongo.ila kuna nyuzi nyingi naona fursa kibao.hebu pitia thread za jukwaa hili hata page ya pili tuu utaona mambo kibao.Boda boda siyo biashara. Nunua kiwanja au kama ni biashara tafuta nyingine siyo bodaboda
sasa mbona kuna biashara umeitamka katika maneno yako bila wewe mwenyewe kujua,chukua eneo hilo kama lina mchanga uanze kuwauzia hao uliosema "karibu na eneo wanlochimba mchanga"Mkuu hili ndilo zingatio langu la kwanza
Utapata pesa mpaka utakua unacheka huku unaoga bafuni na sabuni inaingia mdomoni kwa furahasasa mbona kuna biashara umeitamka katika maneno yako bila wewe mwenyewe kujua,chukua eneo hilo kama lina mchanga uanze kuwauzia hao uliosema "karibu na eneo wanlochimba mchanga"
Hati ya kiwanja ataipata kwa gharama pia, lakini Banki wanataka ue na biashara nyingine kusapoti hicho kiwanja other wise atakaa na kusubiri jua lizamenunua kiwanja, kisa baada ya hapo wekea dhamana upate mkopo ufanye biashara
Hati ya kiwanja ataipata kwa gharama pia, lakini Banki wanataka ue na biashara nyingine kusapoti hicho kiwanja other wise atakaa na kusubiri jua lizame
Asipo kuelewa hapa basi tenaAcha ujinga... zungusha pesa.... kiwanja ndio nini.... yaaani hadi utakua na wajukuu bado ardhi itakuwepo tu...
Tatizo la vijana munapenda saana mjini.... wakati hujui kuwa hata mdaula kutakua mjini tu kabla haujapata pesa....
Wanaowekeza asset ni watu wanaojimudu kimaisha... mwenzangu na mimi kajamba nani pangu pakavu umeokota m2 badala ya kuizungusha ijae unawaza kiwanja.... nunua ule mavi.....
Dadek
Kama kina ukubwa huo (almost 20m x 20m) kwa bei hiyo kinunue haraka. Probably hakijapimwa na unaweza kufuatilia hati mapema ili kukiongezea thamani. Achana na biashara ya Bodaboda kwa sasa. Itakutia mawazo tu.
Waindi na Waarabu hawana viwanja wanazungusha pesa tuuuuuuuu. Sisi masikini tunaangaika na viwanja badala ya kuzungusha pesa yako. Mwisho wa siku sehemu ikiwa mjini mwenye pesa anakuja anakuondoa, kwa sababu huna power ya pesaHuo ndio ukweli wa hali unapata milioni 5 unakimbilia kiwanja,sijui utakula hicho kiwanja
Nakushauri kijana mwenzangu achana na wanaokushauri nunua kiwanja. Awo ni waoga wa maisha na wengineo wameshafeli kimaisha. Fanya mchakato nunua boxer-150 ya Tsh 1.4 milionHapana sina biashara nyengine mkuu, nipo napiga kazi tu za kuajiriwa pia sina mpango wa kujenga kwa sasa maana sina pesa.
Na nikinunua bodaboda ndani ya mwaka itakua imenirudishia pesa yangu na faida kama ya 1mil tu
Nakushauri kijana mwenzangu achana na wanaokushauri nunua kiwanja. Awo ni waoga wa maisha na wengineo wameshafeli kimaisha. Fanya mchakato nunua boxer-150 ya Tsh 1.4 milion
Alafu kama kazini unaingia saa moja, amka asubuhi piga mishe mishe za boda boda na jioni kama unatoka kazini saa 11 piga mda huo mpaka saa 2 usiku. Uwezi kukosa elfu 10. Kwa siku na siku za wikiend unakomaa. Kwa mwaka tayari pesa yako imerudi na mishe zikaendelea
Lakini kama ukimpa mtu, ujue umetoa sadaka hakuna faida yoyote. Biashara yenye faida ni kuwepo mwenyewe na sio kumpa mtu hakuna faida yoyote