Vipi kuhusu NISSAN MURANO NA NISSAN DUALIS, gari hizo binafsi nazipenda sana lakini ni gari adimu sana mtaani inaelekea watu hawazipendi. Naomba kujuzwa tatizo au uzuri wa gari hizo. Asante.
Wakuu, Ni naomba ushauri juu ya Aina ya gari la kununua nikija Tanzania na vigezo ni Hivi,
1 . liwe na fuel consumption Nzuri.
2. Lisiwe Dogo sana, kama passo mfano,
3. Liwe na mwendo Mzuri na
4. Uwezo wa Kwenda Masafa marefu.