Hahaha acha hizo DemiUtagongewa hadi ushangae maana unaboa.
Sawa sawa kabsaKumyima mtu uhuru ,unamtengenezea kuwa na maisha ya unafiki , Mwache mtu awe huru ,itakusaidia kujua tabia zake..., Ili utafakari kama unaweza kuzibeba au la..! Ili huko kwenye ndoa upambane na kasoro zake tu na sio tabia tena maana tabia tiyari unazijua na umekubaliana nazo kuzibeba
Sio hivyooWatu mna muda wa kupoteza, yaani hadi unafuatilia anaongozana na nani na anaongea na nani!!! Kila la kheri, hope unachokitafuta utakipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri umri usogee kidogo ,subiri pia wakuumize utaozea hautokuwa na wivuMiaka 23 now huyu wa 8
Nawewe muda utafika utatamani hata apate mwanamke mwingine wewe uvute pumziKwakweli Sina Cha kukusaidia maana mi mwenyewe ndo walewale, akimtizama mwanamke na nikaona natamani hata kumpofusha huwa namziba macho kwa mikono, akimgusa mwanamke natamani nikate mikono huwa naishia kumvuta mkono, akisifia muonekano wa mwanamke natamani nimfanye bubu lakini namuangalia jicho flani hivi nabadili mada ama namziba mdomo,, nimepatwa
Sio poa kabsa yaanKwakweli Sina Cha kukusaidia maana mi mwenyewe ndo walewale, akimtizama mwanamke na nikaona natamani hata kumpofusha huwa namziba macho kwa mikono, akimgusa mwanamke natamani nikate mikono huwa naishia kumvuta mkono, akisifia muonekano wa mwanamke natamani nimfanye bubu lakini namuangalia jicho flani hivi nabadili mada ama namziba mdomo,, nimepatwa
Dalili ya usemacho siioniNawewe muda utafika utatamani hata apate mwanamke mwingine wewe uvute pumzi
Miaka 23 ushaanza kuwaza kuoa, Hamna jipyaMiaka 23 now huyu wa 8
Nina uhakika haujavuka 25 prove me wrong!Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya ili kujua anawasliana na wakina nani? Sanaa.
3.Nikiona anaongea na mwanaume au kaongozana na mtu hilo ni tatizo kubwa sana lazima nimuulize wanamazungumzo gani? Baina yao.
4.Lakin yeye anaonesha kuchukizwa sana na vitendo vya kumchunga anasema kuwa kama namwamini basi nimpe uhuru maana ana akili anatambua analofanya jema na baya.
NB: Huyu mwanamke nampenda sana na nahitaji awe mke wangu hapo baadae, ndio maana namchunga sana mazoea na wanaume sitaki sababu huwa wanakula tunda kimasihala.
Nini? Ushauri wenu kwangu mdogo wenu.
Pia soma: Punguza wivu kwenye mahusiano
Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu. Ni mpenzi wangu, nipo nae...www.jamiiforums.com
Nina uhakika haujavuka 25 prove me wrong!