Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

Sikushauri kuoa huyo wanawake wa hivyo asilimia kubwa uwa wana mapungufu ya kitabia n. k kwa sasa si rahisi kujua ila muweke ndan ndio utajua asili haijifichi!
 
yaonyesha Umri wako bado mdogo sana hujakomaa huwez hata kufanya maamuz sahihi katika mapenzi...
Vijana wa siku hizi wamefanya suala la mahusiano kama ni suala la fashion, matokeo yake ni kwamba wanakuja kudhurika na magonjwa/ stress za kuachwa na kuiona dunia ni chungu
 
Vijana wa siku hizi wamefanya suala la mahusiano kama ni suala la fashion, matokeo yake ni kwamba wanakuja kudhurika na magonjwa/ stress za kuachwa na kuiona dunia ni chungu
But is it inevitable ndgu ang
 
Sikatai bt kila kitu kila muda wake, kama ameshindwa kufanya maamuz sahih kwenye suala hili dogi tu unafikir makubwa atayokutana nayo kwenye ndoa atayaweza?!
Of course ndgu wanasema maji ukiyavulia nguo yaoge
 
Wakat wa kufanya maamuzi sahihi atakuwa na miaka mingapi unadhani au wahitimu weng huwa wanakuwa na miaka mingapi ili wawe kwenye position ya kufanya maamuz sahihi?
 
Maneno kuntu hayo zingatia
 
Kiumri kaka Yuko na miaka 17
Hana mtoto
Pia alimuacha mwanaume yeye cio kwamba aliachwa
Haraf kisa cha yeye kukimbia ndoa ni kunyanyaswa na huo jamaa maana alimuoa kwenye upali alikuwa mke wa pil
 
Ni aibu kijana ambaye hujawahi kuoa kabisa kuparamia used .
Ni vema ukatafta binti hata kama hutaikuta bikra.Hao wengine tuachieni sisi wenyewe.
Ajabu vijana mnaishia kubeba mikosi ya wengine tu.
Kila lakheri.
Kuwa used ni kuolewa tu?
Mbona wengi ni used. Mwanamke ye yote asiye bikira ni used. Isikusumbue kama unampenda muoe. Mbona hao wanalala na used women na used men
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…