Ushauri: Nimuoe au vipi?


Nakushauri ukamuombe ushauri yeye mwenyewe. Nyinyi ukoo wenu wote 'wazungu/ wahindi/ waarabu'?
 

Mpe mkorogo awe mweupe
 
Hii yako Kali wakati unamfuata mwanzoni yeye Alikuwa na rangi gani?au wewe ulikuwa na vigezo gani Je Hicho cha rangi hakikuwepo tangu mwanzo? Mbona kuwasumbua wanawake jamani umempata ana Tabia inayofaa unatafuta excuse ya rangi mwisho dada wa watu ajiharibu rangi yake kisa utoto wako. Weupe utakutii?utajuheshimu?utakupikia,fulia na kukufanyia Mambo ambayo dada wa watu Anafanya Hebu kuwa mwanaume bwanaa agh!
 
Wafrika tumeanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe?
 

umemjibu vema sijui wewe ni dada au kaka lakini umeonesha kuguswa na utoto anaofanya huyu cowboy
 
Tatizo mtu akimaliza form four anaona keshaua kila kitu hadi anaanza kutafta kuoa.

Tafta helaaaaa dogo..helaaaa sawa
 
Acha kumpotezea mtoto wa watu muda wake kwani ni dhahiri humpendi. Ukiingia nae katika ndoa kwa huruma utamtesa kwani moyo wako hauwezi kuuwekea guarantee ya kubadilika na kumpenda. Mwache atapata mtu atakaempenda kwa dhati.
 
Mkipata wife material ooh mweus visingizio kibao lead your hear don't follow your heart hizo tamaa haziishi u can tune ur mind to black beauty mi sikushaur umuache cos tabia is everything.kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…