electrical
Member
- Dec 29, 2014
- 30
- 3
U only need to grow up a bit more.Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mm napenda wanawake weupe
Moyo hautak kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahsi ntakua nataman sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana.
Nishurin jaman nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake???
Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mm napenda wanawake weupe
Moyo hautak kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahsi ntakua nataman sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana.
Nishurin jaman nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake???
acha ujinga wewe embu muache dada wa watu apate wa kumfaaa na si wewe kitoto bado unabalehe inakusumbuaYan kama naogopa kuingia kwenye ndoa hv... Alaf nahs ntajuta kumkosa nikmuacha coz ananpenda sana
mweusi waachie wanaopenda hizo rangi we hujui thamani yake, subiri utapata nyeupe yako
ungekuwa karibu ungeambulia makofi tu na mateke ,,.. sasa unataka nini?Naogopa nikimuacha sitapata mwenye yabia na mapenz kama yake
kama huna mpango nae kisa ni mweusi ,mwonyeshe njia ya kutokea kuliko kumpotezea muda dada wa watu.....!
ila kumbuka mapenzi ya siku hizi ni bahati nasibu kumpata atakaye kupenda
Yan kama naogopa kuingia kwenye ndoa hv... Alaf nahs ntajuta kumkosa nikmuacha coz ananpenda sana
ungekuwa karibu ungeambulia makofi tu na mateke ,,.. sasa unataka nini?