luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,205
- 1,654
Kweli kabisa madalari wanaalibu biashara wapuuzi sana.Usije dukani kwangu kwa mazoea unachukua nguo moja unamuuzia mteja elfu 30, una force kulipia elfu 15 ya Bei ya jumla kwa nguo moja. Hakuna Bei ya jumla kwa nguo moja. .
Mteja akifikia elfu 20 huuzi kwa sababu kwako haina maslai Ila kwangu yapo na ndio Bei ya rejareja. Kwa kuwa nauza elfu 20 rejareja usilazimishe Kisa umekuja na mteja kafika Bei ya chini unataka kilipwa wakati kwa Bei ya elfu 20 ukitoa elfu mbili ya Kodi duka linaingiza elfu 3. Kwa faida ya elfu 3 ni ndogo Ila wewe unaona ni utajiri kwa sababu namiliki duka. .
Ukija na mteja dukani kwangu ukiuza nguo hata Kama elfu 50, ujue naweza kukupa elfu 25 nikakata elfu 25 yangu kwa sababu unajua nauza nguo elfu 20 Bei ya rejareja ukalazimisha nichukue elfu 20. Ukumbuke nguo ikiwa na shida mteja atarudi dukani kwangu kuibadilish na natoa risiti. .
Ila mawinga ni waaribu biashara Sana. Bei wanafanya kubwa Sana kiasi Cha kufukuza wateja. Mda mwingine huwa wanasubiri wateja nje ya duka lako, Kama wapiga debe. .
Serikali ya Tanzania natoa rai muwafinge madalali ndio waanaofanya uharibifu wa biashara. Unakuta mda mwingine wanafanya bidhaa zisinunuliwe kuanzia kilimo mpaka serikalini huko wanajofanya wanauza tenda Kama za baba yako. Fucky em. .
Usije dukani kwangu kwa mazoea unachukua nguo moja unamuuzia mteja elfu 30, una force kulipia elfu 15 ya Bei ya jumla kwa nguo moja. Hakuna Bei ya jumla kwa nguo moja. .
Mteja akifikia elfu 20 huuzi kwa sababu kwako haina maslai Ila kwangu yapo na ndio Bei ya rejareja. Kwa kuwa nauza elfu 20 rejareja usilazimishe Kisa umekuja na mteja kafika Bei ya chini unataka kilipwa wakati kwa Bei ya elfu 20 ukitoa elfu mbili ya Kodi duka linaingiza elfu 3. Kwa faida ya elfu 3 ni ndogo Ila wewe unaona ni utajiri kwa sababu namiliki duka. .
Ukija na mteja dukani kwangu ukiuza nguo hata Kama elfu 50, ujue naweza kukupa elfu 25 nikakata elfu 25 yangu kwa sababu unajua nauza nguo elfu 20 Bei ya rejareja ukalazimisha nichukue elfu 20. Ukumbuke nguo ikiwa na shida mteja atarudi dukani kwangu kuibadilish na natoa risiti. .
Ila mawinga ni waaribu biashara Sana. Bei wanafanya kubwa Sana kiasi Cha kufukuza wateja. Mda mwingine huwa wanasubiri wateja nje ya duka lako, Kama wapiga debe. .
Serikali ya Tanzania natoa rai muwafinge madalali ndio waanaofanya uharibifu wa biashara. Unakuta mda mwingine wanafanya bidhaa zisinunuliwe kuanzia kilimo mpaka serikalini huko wanajofanya wanauza tenda Kama za baba yako. Fucky em. .
Kariakoo haipo ivyo Brother biashara ya pale haifanyiki ki bishoo kwenye Facebook ni kumbana street unatoka jasho ujenge jina utengeneze network, pia uaminifu, nenda kakomae achana na Mambo ya chuo kwenye serious lifeHabari..
Nimeamua niwe winga wa kuuza vitu online kariakoo.
Yaani mimi niwe napost kwa mitandao kutafuta wateja halfu nauza kwa bei ya Jumla.
Swali langu ni..
1.Je ni Sehemu ipi kama nikikomaa ninaweza kutoboa...(Mavazi , Electronic Equipment,Urembo perfume na Jewelry)
Na Naombeni Hint za muhimu wakuu.
Siku ukiamua kuingiza kwenye bidhaa za kilimo. Nunua mahindi uone sokono Kama utayauza. Yani madalali ndio wanapanga Bei na kuharib biashara na hawana kazi yeyote ile ni uharibifu. .Umeongea kwa hasira sana mkuu. Ila hakuna namna ndo maisha menyewe.
Wasiofanya biashara hawawezi elewa.Kweli kabisa madalari wanaalibu biashara wapuuzi sana.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jumla pieces 3 Ila number unachagua wewe. Hawezi kukupangia size anazotaka yeye labda size sio kubwa. Wengi wanataka size ndogo na Kati halafu nguo size kubwa umuuzie nani. Akipanga size hiyo ni rejareja. .Mawinga ni kipengele sana
Yaani unakuta anataka a force biashara hajui wewe unavyoumia
Siku hizi nawaambia tu jumla kuanzia 3pcs maisha mengine yanaendelea.
Kaka inaonekana ma winga wamekuumiza sana aisee maana ulivyoandika kwa Uchungu sanaJumla pieces 3 Ila number unachagua wewe. Hawezi kukupangia size anazotaka yeye labda size sio kubwa. Wengi wanataka size ndogo na Kati halafu nguo size kubwa umuuzie nani. Akipanga size hiyo ni rejareja. .
Pole sana mkuuSiku ukiamua kuingiza kwenye bidhaa za kilimo. Nunua mahindi uone sokono Kama utayauza. Yani madalali ndio wanapanga Bei na kuharib biashara na hawana kazi yeyote ile ni uharibifu. .
Kuna madalali wa aina hii Kila Kona. Hawana biashara yeyote ndio wanaoibia wateja kariakoo. Hata akikuuzia bidhaa huwezi irudisha dukani hawana duka. Huwa wanafirce wauze hawajali kabisa na mara nyingi biashara zao zinakuwa za mizozo. .
Nilishuhudia kibaa dalali analoga shamba hauzi yeyote isipokuwa yeye. Wakija watu wanaona shamba limejaa maji. Kuwa makini Sana na madalali waharibufu mno. .
So mimi nisiongezeke niliyoomba ushauri.Usije dukani kwangu kwa mazoea unachukua nguo moja unamuuzia mteja elfu 30, una force kulipia elfu 15 ya Bei ya jumla kwa nguo moja. Hakuna Bei ya jumla kwa nguo moja. .
Mteja akifikia elfu 20 huuzi kwa sababu kwako haina maslai Ila kwangu yapo na ndio Bei ya rejareja. Kwa kuwa nauza elfu 20 rejareja usilazimishe Kisa umekuja na mteja kafika Bei ya chini unataka kilipwa wakati kwa Bei ya elfu 20 ukitoa elfu mbili ya Kodi duka linaingiza elfu 3. Kwa faida ya elfu 3 ni ndogo Ila wewe unaona ni utajiri kwa sababu namiliki duka. .
Ukija na mteja dukani kwangu ukiuza nguo hata Kama elfu 50, ujue naweza kukupa elfu 25 nikakata elfu 25 yangu kwa sababu unajua nauza nguo elfu 20 Bei ya rejareja ukalazimisha nichukue elfu 20. Ukumbuke nguo ikiwa na shida mteja atarudi dukani kwangu kuibadilish na natoa risiti. .
Ila mawinga ni waaribu biashara Sana. Bei wanafanya kubwa Sana kiasi Cha kufukuza wateja. Mda mwingine huwa wanasubiri wateja nje ya duka lako, Kama wapiga debe. .
Serikali ya Tanzania natoa rai muwafinge madalali ndio waanaofanya uharibifu wa biashara. Unakuta mda mwingine wanafanya bidhaa zisinunuliwe kuanzia kilimo mpaka serikalini huko wanajofanya wanauza tenda Kama za baba yako. Fucky em. .
Wewe umerudiRudi kwenu Arusha kalime.
Asante kwa ushauri mkubwaKuwa muaminifu,mchapa kazi,lugha nzuri na kutunza muda.
Ukizingatia hivyo wateja na wenye maduka utakula pesa zao
Asante sanaFungua na a/c kwenye social media mzee.
Ndiyo nimerudi niko hapa nalimaWewe umerudi
Ukiwa winga ni rahisi sana kutoboa. Tafuta machimbo yako ya bidhaa zozote, fungua page facebook, insta au twitter then post bidhaa pamoja na bei plus delivery. Fanya sponsored ads kisha tengeneza reputation ya jina lako na utakuja kunishukuru baadae.Habari..
Nimeamua niwe winga wa kuuza vitu online kariakoo.
Yaani mimi niwe napost kwa mitandao kutafuta wateja halafu nauza kwa bei ya Jumla.
Swali langu ni..
1. Je, ni Sehemu ipi kama nikikomaa ninaweza kutoboa (Mavazi , Electronic Equipment,Urembo perfume na Jewelry)?
Na Naombeni Hint za muhimu wakuu.