Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Nilitaka nijifunze hii lugha ya kihebrania ila tatizo ni kwamba Kile kihebrania kilichoandikwa kwenye biblia hakipo tena kilishakufa, hiki kihebrania cha sasa ni tofauti na Kile cha zamani Kilichotumika kwenye biblia orijino.Jifunze lugha ya roho mtakatifu ili ututonye mipango ya Sir God
Kwanini?1.French
2.Spanish
3.Mandarin
Naombeni ushauri wa lugha mpya ambayo naweza kujifunza ambayo unaamini inaweza kumsaidia mtu endapo atajifunza
kwa sasa najua lugha hii nayoitumia hapa na kiingereza tu
Depends with which field you in.... butKwanini?
Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.Kwa sasa,
Chagua ama ikikupendeza enenda katika mtiririko huu hapa chini.
Hutajutia na utanitafuta siku moja kunishukuru:
Kifaransa,
Kiarabu,
Kichina.
Kwa kuanzia.
Hivi kumbe Kiebrania ndio lugha ya roho mtakatifuNilitaka nijifunze hii lugha ya kihebrania ila tatizo ni kwamba Kile kihebrania kilichoandikwa kwenye biblia hakipo tena kilishakufa, hiki kihebrania cha sasa ni tofauti na Kile cha zamani Kilichotumika kwenye biblia orijino.
Canadian French mkuu.Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.
2.kiarabu kiko poa sana endapo mtu ni mwislamu, ni rahisi kukielewa kwa sababu hata lugha yetu hii ni mchanganyiko wa maneno ya kiarabu na ya kibantu
3.kichina ni dili lakini ni kigumu sana, inabidi uanze upya kuandika herufi na namba, na mambo mengine mengi mno, kwa ufupi ni lugha ngumu sana
KichinaNaombeni ushauri wa lugha mpya ambayo naweza kujifunza ambayo unaamini inaweza kumsaidia mtu endapo atajifunza
kwa sasa najua lugha hii nayoitumia hapa na kiingereza tu
Jifunze kisukuma kipindi hichi ila kijacho jifunze kichagga hususan kimachame.Naombeni ushauri wa lugha mpya ambayo naweza kujifunza ambayo unaamini inaweza kumsaidia mtu endapo atajifunza
kwa sasa najua lugha hii nayoitumia hapa na kiingereza tu
Tunakoenda haya mambo yanaisha kila mtu atabaki na lugha yake technology inakuwa Sana siku hizi mnaweza kukaa kwenye meza moja na mchina kila mmoja akaongea lugha yake na mkaelewana!Kichina
Jr
Sasa mkuu umetaka Ushauri Usome Lugha ipi au umehitaji uchambuzi/ufafanuzi wa Ugumu pamoja na faida/hasara zipi unazoweza kupata kwa kujifunza Lugha hizo?Kifaransa....hii lugha nimefatilia nikaona kwamba ukiachana na nchi ya france, nchi zinazotumia lugha hii kama Congo na nyingi ambazo zipo west Africa zina machafuko ya kisiasa ama hali mbaya ya uchumi.
2.kiarabu kiko poa sana endapo mtu ni mwislamu, ni rahisi kukielewa kwa sababu hata lugha yetu hii ni mchanganyiko wa maneno ya kiarabu na ya kibantu
3.kichina ni dili lakini ni kigumu sana, inabidi uanze upya kuandika herufi na namba, na mambo mengine mengi mno, kwa ufupi ni lugha ngumu sana
Naona unawaza kinyumenyume.Tunakoenda haya mambo yanaisha kila mtu atabaki na lugha yake technology inakuwa Sana siku hizi mnaweza kukaa kwenye meza moja na mchina kila mmoja akaongea lugha yake na mkaelewana!
Miaka 3 iliyopita nilikutana msichana wa kichina huko kwenye vijiji vyao hajuwi luga yoyote zaidi ya kichina Ila simu ilituunganisha na kulikuwa na baridi Sana ya hatari kwangu Ila alinisaidia sana kuipunguza na kuniandalia supu nzuri ya samak