Ushauri: Nifanyeje niishi na mwanaume bila kumuudhi?

Anza kwa kubadili jina lako...

Hutulii, kila thread unapata mwanaume!!!!!!!!!!!!!!!!!


[HASHTAG]#wivu[/HASHTAG].com
 
The average woman would rather have beauty than brains, because the average man can see better than he can think.
 
Huu ni uchochezi sasa!!
 
Ukitaka uishi na mwanaume milele we nyenyekea kwake, mheshimu na kama una mdomo punguza au ikiwezekana acha kabisaaa mdomo.

Ukishaweza hayo mwanaume ni wako milele
 
Mamaa.. we tafuta wa kufananae nae,,, hakuna alie kamili ila wachagua ambae ataweza ishi na kasoro zako na utaweza ishi na kasoro zake,, ila tu cha msingi kuwe na 'LOVE' kati yenu,, maana mengine yote yatatokea na kupita na kubishana na kugombana ila LOVE ndo kitakachowaungamisha pamoja milele yan..
 
Kuwa muelewa na kumsoma kiundani na ujue nini anapenda na nini hapendi.akitaka chochote ww mpeeeee ata hela hutoomba utaona unawekewa tu kwa meza.tahadhari usije mpatia 0710
 
babe...mshauri kwa sauti tulivu bila kelele au ugomvi

kujaliwa hakikisha always uko kwa ajili take,anaonekana smart..

usimhonge Ila hakikisha yuko vzr vzr mda wote!
hata kama anaongea pumba usikilize tu? kujaliwa unamaanisha nini? isije ikawa ni kumnunulia boxer na kumlipia bill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…