Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,559
- 45,879
maisha yana formular mkuu nadhani kuna mahali nakosea ndo maana sifanikiwi labda usinitie moyo kiivoMaisha hayana formula.... na mapenzi pia .... ni kuvumiliana na kubebeana mizigo tu.... hakuna mahusiano yaliyo perfect ila kuna perfect ways za kuyashughulikia.. na hizo unazipata humo humo...
Kwanza ahsante kwa kuniona kama ninafaa kukupa ushauri. mie ushauri wangu ni kwamba ukimpata huyo "ndege" cha kwanza kabisa unatakiwa kumstudy anapenda nini? anachukia nini? kwa ujumla umjue tabia yake. Ukishamjua hakikisha kuwa yale anayoyapenda kama ni mema na wewe umuishi, lakini kama yale anayoyapenda kwa kiasi Fulani sio mazuri basi utamwambia kwa kutumia ile ambayo kipare tunaita polite language umbadilishe taratibu, pia kwa upande wako uwe tayari kugain na kudrop mambo mbalimbali. Kwa mfano akikwambia kuwa hapendezwi na tabia yako Fulani na wewe kweli ukijijua kuwa hiyo tabia sio njema basi iache mara moja, na yale ya kwake mazuri uyaige.
amini hivi kila mtu anamadhaifu yake na hakuna mkamilifu, chukulianane hilo ndiyo muhimu... mpende usitafute mabaya yake ila funika ubaya kwa mazuri yake... usipende mashindano kama kujibishana bila sababu .. kuwa mtii kwake .... be laddish yani deka, pozi kiasi, omba pesa kimahaba usiache kuomba pesa, yah
hahaha hilo muhimu(bold) umenifanya nicheke kwa sauti kubwa hadi wenzangu wananishangaa
kwanza sijasema naolewa mkuu? nani anaoa siku hizi?Kwanza, je huyo anayekuoa yupo tayari kukuchulia madhaifu yako na kufanya yale anayojua yanakupendeza tu? Na wewe je? Upo tayari kufanya hivyo kwake? Kama kila mmoja wenu atakuwa tayari kumfanyia mwenzie hivyo, basi maisha yenu yatakuwa raha mustarehe, buruda-a-ani !
basi tutafutane mkuu maana hichi kipengele japo nataka kukiacha roho inauma sanaMimi natafuta mtu kama wewe, napenda kuhonga sana sijui kama ni matatizo ama la
papuchi itatoka kwa makubaliano maalumu sana yaani hapo ndo pagumuKidume kikitaka Mbunya usikatalie kabisa na kama upo kwenye days of our lives mchezee hadi amalize... na usipige mizinga katikati ya Tendo maana linapoteza stimu... jongoo anaweza lala hafla
ahahaaa hela hawataki kuombwa mamaamini hivi kila mtu anamadhaifu yake na hakuna mkamilifu, chukulianane hilo ndiyo muhimu... mpende usitafute mabaya yake ila funika ubaya kwa mazuri yake... usipende mashindano kama kujibishana bila sababu .. kuwa mtii kwake .... be laddish yani deka, pozi kiasi, omba pesa kimahaba usiache kuomba pesa, yah