Ushauri: Nifanye nini katika hili

Kabla hujafanya maamz ya kumwambia aje, je umepima mkuu, yule mdudu wa zaman bado yupo kimya kmya🀫, Ila acha ngono kijana ww tunalingana kiumri kabisa ila kwa hayo matendo hatulingani mkuu
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Deal with the consequences if your actions.
 
Naomba kufahamu Kama kabla ya kutembea na hao wote ulikuwa umeshajiunga jf au lah..
 
Usihofu, endelea kuishi hapo ulipopanga ila niletee huyo demu kwangu nimsitiri.
 
Fasta test mitambo ujue iwapo wanamaanisha au wanatania.

Fanya hivi;
Tafuta malaya moja matata sana yani dizaidi kubwakubwa,takotako,
yale mtu akiliona shurti aliangalie mara mbili,akiliangalia na kulilinganisha na wewe anakusikitikia.
Hili sio lazima 'ulile' unalipanga kabisa kuwa huna mpango wa kulila ila kuna mtu unataka ajue una mpenzi mueleze picha nzima.
(utalilipa lakini)
Hilo limalaya ikiwezekenana ingia nalo nyumbami mchana kweupe muda unaojua ataonekana kwa kila mtu.
kisha sikilizia kitakachotokea.
 

πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Naomba kufahamu Kama kabla ya kutembea na hao wote ulikuwa umeshajiunga jf au lah..
πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
LEO SHULE UJAENDA EEEH MWANDIKO TU UNAONESHA IQ YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…