Ushauri: Nifanye nini katika hili

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
33,794
Reaction score
55,561
Habari Jf,

Mimi ni kijana wa kiume, miaka ishirini na sita [26], Nimetoka mkoani na kuja kuishi huku dalisalama kikazi. Kama mjuavyo huaba wa nyumba🏑🏑🏑🏑 za kupanga nikajikuta nimepanga katika nyumba ya watu wengi.

Kwa kusamalaizi tu maana wengine ni wavivu wa kusoma πŸ˜‰ πŸ˜‰ πŸ˜‰ Kwenye ile nyumba kuna wapangaji singo mama kama watatuπŸ‘©β€πŸ‘©β€πŸ‘¦πŸ‘©β€πŸ‘©β€πŸ‘¦πŸ‘©β€πŸ‘©β€πŸ‘¦ kati ya wapangaji saba. Wawili ni wadada ambao ni jobless na waliobaki ni majamaaπŸ‘¬πŸ‘¬ kama mimi ambao nao hawajaoa Ila wanakujaga home mara chache.

MSALA SASA. Hapa nimetembea na hawa wadada wote na single mama wawili pia nimepita nao, kasheshe inakuja wiki ijayo mpenzi wanguπŸ’•πŸ’• anakuja kutoka kule jirani na makao makuu [CHATTLE]πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ yeye anatokea ROCK CITY. Kuna wadada hapa wamenambia kama nikimleta mpenzi wangu watamwambia kila kitu.Hapa nimeshindwa nifanyaje na kumzuia asije siwezi maana atajua nina mcheat.

Naombeni msada wa mawazo nifanyeje?
 
Hii chai bora ungeweka tangawizi na limao ili tuendelee kupambana na Corona
🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭
 
Kabla hujafanya maamz ya kumwambia aje, je umepima mkuu, yule mdudu wa zaman bado yupo kimya kmya🀫, Ila acha ngono kijana ww tunalingana kiumri kabisa ila kwa hayo matendo hatulingani mkuu
 
Pambana na hali yako
Kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe
Achana na sisi
 
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Pambana na hali yako
Kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe
Achana na sisi
πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅πŸ₯΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…