Kati ya wnawake wawili (2) mmoja (1) kizazi kimeshuka, kati ya wanawake watano (5) watatu (3) kizazi kimeshuka na kati ya wanawake kumi (10) sita (6) vizazi vyao vimeshuka,
Kushuka kwa kizazi ni chanzo cha wanawake wengi huhisi maumivu makubwa pindi wanafanya tendo la kujamiana.
Kushuka kwa kizazi ni chanzo cha hamu ya mwanamke kuwa ndogo hasa pindi anapotaka kushiriki au anapokua akishiriki tendo hilo, na hivyo kumfanya kuwa na mawazo na kwakuwa huwa waoga huchelewa hata kuwaambia waume zao ukweli wa maumivu wanayohisi.
Kushuka kwa kizazi ni chanzo kikuu kwa wanawake kutoshika mimba au mimba kuharibika,
Kushuka kwa kizazi ni chanzo kikubwa cha ugumba kwa wanawake ikiwemo na shida ya kuingia majira yao.
Hali hii inaweza kutibika ikiwa mwanamke atawahi kupata matibabu kati ya Umri wa miaka 18-28 mbali na hapo shida hii ikikomaa zaidi na hivyo kuondoa matarajio ya kuoita (Hospital only but God more than that)
Chanzo kinacho changia hali hii mara nyingi wapo mabinti wanao lala usiku na majini na pepo wabaya katika ulimwengu wa giza na hivyo pepo hawa hubebesha wanawake hawa mimba bila wao kujua ingawa ujikuta wakiota wakinyonyesha na kujifungua watoto kwa njia ya ndoto ila uwalisia yao huliwa na majini na nguvu za giza.
Kinachoweza kuchangia hali hii ni pamoja na matumizi makubwa ya madawa yanayofunga au huhalibu mfumo wa uzazi mfano dawa za majira, dawa za kutoa mimba za awali n.k, pia matumizi makubwa ya vilevi, lishe zenye wanga kubwa, matumizi ya kinyume na maumbile, Uingizwaji wa umbile la mwanaume refu na maumbile, kukosa kulala kwa Usahihi na matumizi ya maji kuwa kidogo sana, kazi ngumu, mazoezi mazito, kuzaa kwa mpingo, utoaji mimba n.k