Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 924
Kodi ya nyumba aliniambia ni sh. elfu 20 kwa mwezi. Miezi sita ni laki moja na ishirini.Kodi ya nyumba ya miezi miwili ongeza ya miezi sita jumla ni shillingi ngapi?
Mwambie rafiki yako ampe mkewe kiasi hicho cha pesa. Wanaita kulipia malipizi!
Halafu ulete hapa matokeo
Ampe mkewe kiasi cha fedha sawasawa na kodi ya nyumba ya miezi minane aliyomlipia shemeji yake.Sawa mkuu, lakini unampa ushauri gani?
Hapana mkuu Sio kwamba alikua hamshirikishi, alimshirikisha vizuri tu, na asingeweza kumuonea huruma shemeji yake huyo bila kusimuliwa na mkewe, mkewe ndio alikua anampa stori za changamoto anazopitia nduguye, ndio maana akaguswa akaanza kumsaidia.Kama alikuwa amshirikishi mke wake bc anafanya makosa makubwa sana
Sio Mimi mkuu. Ni jamaa yangu.Pole sana mkuu... Kaa na mkeo muyajenge...
Wakati unamlipia 'shemeji' hukumshirikisha wife wako!?
[emoji1][emoji1]Hapana mkuu, hakumsaidia kwa Siri, kila alipomsaidia shemeji yake hakuacha kumfikishia taarifa mkewe. Sasa hili la kodi ya miezi 6 ndio limeleta gumzoYeye anamsaidiaje mdogo wa mke wake kwa siri bila kumshirikisha mke wake, mwambie aache tamaa atulie na papuchi ya mke wake
Hapana mkuu Sio msaada wa Siri. Kila anapomsaidia shemeji yake haachi kumwambia mkewe, na mkewe huridhika. Sasa hii kodi ya miezi 6 ndo imeleta gumzoKama Msaada alitoa kwa siri na asante atapewa kwa siri, ss siri imegundulika akiulizwa ni asante ya aina gani amepewa atajibu nn aaminike?
Mwambie akae chini na mke wake waangalie namna gani ya kumsaidia mdogo wake aachane na misaada ya siri.
Hapo lazima kuna siri Kama alimshirikisha mkewe kabla gumzo ya nn? Si mkewe angempa tu sababu za kutokulipa hiyo kodi? Au mkewe ni zezeta kichwa hakipo sawa anasahau kuwa walikubaliana walipe?Hapana mkuu Sio msaada wa Siri. Kila anapomsaidia shemeji yake haachi kumwambia mkewe, na mkewe huridhika. Sasa hii kodi ya miezi 6 ndo imeleta gumzo
Hapana mkuu Sio kwamba alikua hamshirikishi, alimshirikisha vizuri tu, na asingeweza kumuonea huruma shemeji yake huyo bila kusimuliwa na mkewe, mkewe ndio alikua anampa stori za changamoto anazopitia nduguye, ndio maana akaguswa akaanza kumsaidia.
Kama hapa nimeelewa mjini Kuna mambo tu..😂Hiyo pesa angempa Dada mtu,apeleke kwa mdogo mtu,na sio kupeana wao kama wao, mtu na shemeji yake,ukute mke wa jamaa yako sio mzuri,shemeji ndo mzuri,kiasi cha kwamba shemeji anaweza pindua meza! Mjini kuna mambo