nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Mm ni kijana wa miaka 23 nmemalza mwaka huu chuo ..I was pursuing bachelor degree in Accountancy at IFM.
Nataka niwe na consultancy firm itakayokua ina deal na hiv vitu.
1.preparation of financial statements
2.Tax issue
3.preparation of bness plan
4.any issue that relate to Accountancy
Changamoto nilizo nazo
1.sina mtaji (I mean hata 100 ya kuanzia)
2.Cna experience (fresh from school)
Nachohitaji kwa wadau
1.yeyote anayefanya hii kazi kunishauri if my idea is viable o najidanganya?
2.mwenye mtaji ili tushirikiane
3.location iwe wap ..naweza kuifungua Arusha au dar es salaam
4.kama huna idea yyte na hii issue tusikatishane tamaa
Nawasilisha wakuu
Mkuu una wazo zuri sana, ila kwa ushauri tu, ukiwa unaandika vitu sensitive kama hivi jaribu sana kutulia na kuacha uandishi wa whattsapp na FB!!!Mm ni kijana wa miaka 23 nmemalza mwaka huu chuo ..I was pursuing bachelor degree in Accountancy at IFM.
Nataka niwe na consultancy firm itakayokua ina deal na hiv vitu.
1.preparation of financial statements
2.Tax issue
3.preparation of bness plan
4.any issue that relate to Accountancy
Changamoto nilizo nazo
1.sina mtaji (I mean hata 100 ya kuanzia)
2.Cna experience (fresh from school)
Nachohitaji kwa wadau
1.yeyote anayefanya hii kazi kunishauri if my idea is viable o najidanganya?
2.mwenye mtaji ili tushirikiane
3.location iwe wap ..naweza kuifungua Arusha au dar es salaam
4.kama huna idea yyte na hii issue tusikatishane tamaa
Nawasilisha wakuu
Consultancy FORM ndo penyewe mkuu....Kaza buti!
kwanza jifunze kuandika ukianzishacho..
firm sio form
Pili wazo zuri ila ku manage kitu bila ujuzi ni kaz na yenyewe..
so ushauri anza kupeleka C.V ako kwenye auditing firms ukipata wakutumie weeee for atlist 55 years( miaka mitano inatosha kujijengea ata kimtaji kidogo cha kuanza, inaku subject pia na connections zaidi na utakutana na wenye ideas kama wewe ili muweze kuungana mfanye moja
kila la kheri
NOTE Kama una degree ya accounts unaazisha consultancy itabid ujue tax au uajir tax analyst kuweza kudeal na tax related issues and tax computations..
so aapo ujiandae kupiga kashort kozi ya tax
typing error, i meant 5 yearsAfanye kazi 55 years si atakua amekufa kabla hata hajaanzisha hiyo form/firm yake?
Consultancy FORM ndo penyewe mkuu....Kaza buti!
Mkuu una wazo zuri sana, ila kwa ushauri tu, ukiwa unaandika vitu sensitive kama hivi jaribu sana kutulia na kuacha uandishi wa whattsapp na FB!!!
Ni firm na sio form.