Sasa kama alikuwa na gari nyingine hii ya nini? Nyie ndo mnatuongezea msongamano mjini.[/QUOTE said:Ndugu yangu, gari ikishaanza kuchoka si unanunua nyingine??? Hata wajapan wangeng'ang'ania gari moja mpaka itakapooza, sisi middle class tungenunua magari???
\Point taken mkuu!!
Si unajua najitahidi kum handle ki gentleman asishikwe na tamaa!! Wakuu tatizo nimeoa mwanamke mrembo sana na anayedeka basi inabidi kila kitu tujadiliane ili nisimkwaze mama mtoto wangu!!
\
Mkuu Brroklyn,
Nikwambie kitu, kila mtu ameoa kwa wale tuliooa mrembo kwa vipimo vyake sasa please usiliangalie hilo kwa mtazamo huo kwa sababu utakufa kwa presha tu..utakuwa unawaza kumridhisha wakati kumbe yeye anaweza kukugeuza buzi,
Pili, kukwazana kupo tu kila siku, ni jisni ya kuhandle hayo makwazo...nyie sio malaika.Ndio maana nashindwa kuelewa kwa nini anang'ang'ania kubadili gari orijino ya gari wakati kwa gari aina hiyo rangi nyeupe ndo mwake kama walivosema wengine
Tatu, kama upo mbali naye mkuu jaribu kuangalia sana, kumpa kila kitu sio suluhisho kuwa hatakusaliti!
Kaka hakuna rangi nzuri kwa maana ya maitenance katika gari kama rangi nyeupe. Haijachanganywa na rangi nyingine, madini mengi kama hizi tunazoziita metallic na pia huakisi mwanga na joto.
Ni kubadili card ya gari tu isomeke rangi unayoweka,Itanichukua kiasi gani cha pesa nikitaka kulipia TRA ili niweze kubadili rangi ya gari langu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Boy, hongera kununua gari
AsanteNi kubadili card ya gari tu isomeke rangi unayoweka,
miaka ya nyuma 2014 ilikua 10k sujui saivi
Njoo uchukueKama halitaki nigee mie
Nashukuru wana JF kwa ushauri wenu!
Hatimaye muafaka umepatikana, na wife karidhia kwa moyo mkunjufu kutumia gari kama ilivyo!!
Thanks & good day!
Utaitoaje hapo bandari bila registration?!Habari wana JF!
Nina changamoto ina nikabili hapa, nimeona niilete kwenu kwa ajiri ya ushauri. Nimenunua gari aina ya Toyota Mark II GX110 nyeupe, kwa bahati mbaya shemeji yenu (ambaye ndiye niliye mnunulia) hajaipenda rangi hiyo. Yeye anapendelea rangi ya dark blue ama light blue. Kwa sababu bado sijaifanyia registration, amesisitiza niipeleke kwa wachina wakaibadili rangi.
Binafsi I dont support the move, nimejitahidi kumshawishi aitumie kama ilivyo naona hanielewi. Hofu yangu mimi ni kwamba nahisi rangi original inayokuja na gari inadumu na kuwa ang'avu kwa muda mrefu bila kupauka kuliko hizi za kubadilisha.
Je hofu yangu ni sahihi? Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na hili.....ili nimwelimishe mrembo wangu!!!
NENDA ZAPATA KONA YA CHANGOMBE ROAD NA PUGU ROAD [Next to the old petrol station] utasuuzika na roho yako