Habari wana JF!
Nina changamoto ina nikabili hapa, nimeona niilete kwenu kwa ajiri ya ushauri. Nimenunua gari aina ya Toyota Mark II GX110 nyeupe, kwa bahati mbaya shemeji yenu (ambaye ndiye niliye mnunulia) hajaipenda rangi hiyo. Yeye anapendelea rangi ya dark blue ama light blue. Kwa sababu bado sijaifanyia registration, amesisitiza niipeleke kwa wachina wakaibadili rangi.
Binafsi I dont support the move, nimejitahidi kumshawishi aitumie kama ilivyo naona hanielewi. Hofu yangu mimi ni kwamba nahisi rangi original inayokuja na gari inadumu na kuwa ang'avu kwa muda mrefu bila kupauka kuliko hizi za kubadilisha.
Je hofu yangu ni sahihi? Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na hili.....ili nimwelimishe mrembo wangu!!!
NENDA ZAPATA KONA YA CHANGOMBE ROAD NA PUGU ROAD [Next to the old petrol station] utasuuzika na roho yakoHakuana haja ya kubadilisha ilo gari litakuwa baya sana,
Rangi original imepigwa na mjapani sasa nyinyi mmeona haifai haya nendeni kwa wachina mtaniambia kama kagari hakajaja na manundu nundu kwenye body zima.
Kama mkeo ana hekima ya kukuelewa mueleweshe lkn kama ni kimeo(mtata , Asikii la mtu, mjuaji) mwache na ubishi wake
Hakuana haja ya kubadilisha ilo gari litakuwa baya sana,
Rangi original imepigwa na mjapani sasa nyinyi mmeona haifai haya nendeni kwa wachina mtaniambia kama kagari hakajaja na manundu nundu kwenye body zima.
Kama mkeo ana hekima ya kukuelewa mueleweshe lkn kama ni kimeo(mtata , Asikii la mtu, mjuaji) mwache na ubishi wake
Mwambie kama hataki hiyo rangi anunue lake maana inaonekana hamkushirikishana kabla ya kununua gari na pia zawadi haina masharti, unless ulinunua kwa hela yake na yeye alikupa specs ambazo hukuzifuata
Kumbuka kwamba leo ukianza na rangi kesho atasema nyumba haipendi anataka nyingine au ubadili sebule iwe chumba na chumba kiwe choo na choo kiwe jiko ili jiko liwe sebule😕
Habari wana JF!
Nina changamoto ina nikabili hapa, nimeona niilete kwenu kwa ajiri ya ushauri. Nimenunua gari aina ya Toyota Mark II GX110 nyeupe, kwa bahati mbaya shemeji yenu (ambaye ndiye niliye mnunulia) hajaipenda rangi hiyo. Yeye anapendelea rangi ya dark blue ama light blue. Kwa sababu bado sijaifanyia registration, amesisitiza niipeleke kwa wachina wakaibadili rangi.
Binafsi I dont support the move, nimejitahidi kumshawishi aitumie kama ilivyo naona hanielewi. Hofu yangu mimi ni kwamba nahisi rangi original inayokuja na gari inadumu na kuwa ang'avu kwa muda mrefu bila kupauka kuliko hizi za kubadilisha.
Je hofu yangu ni sahihi? Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na hili.....ili nimwelimishe mrembo wangu!!!
Wife anasema rangi nyeupe kwa sedan hataki, eti inaonekana kama taxi au car-rental!!
Mzee hapo kny blue pako sawa? au mi ndo kilaza hapa.....Sedan ni Universal set?
Back to the ushauri na maoni.
Ni vizuri kumridhisha mwenzio, lakini ufanye hivyo bila kuharibu zaidi! Is true, re-painting car, rangi hiyo inafubaa mapema sana compared na ile original mzee, pili unachangia kiasi fulani ku-wear & tear gari lako kabla hujalitumia kabisa!
Kubwa kuliko yote, ukija taka liuza hilo gari, hiyo itakuwa dosari namba moja! labda uwauzie washamba wa magari....hata ujieleze vipi, wateja watajua gari yako ilipata ajali au liliibwa........!
Rangi nyeupe tu me is fantastic mwimbishe my wife wako mzee aikubali rangi hiyo......!
Wife anasema rangi nyeupe kwa sedan hataki, eti inaonekana kama taxi au car-rental!!
Mwambie kama hataki hiyo rangi anunue lake maana inaonekana hamkushirikishana kabla ya kununua gari na pia zawadi haina masharti, unless ulinunua kwa hela yake na yeye alikupa specs ambazo hukuzifuata
Kumbuka kwamba leo ukianza na rangi kesho atasema nyumba haipendi anataka nyingine au ubadili sebule iwe chumba na chumba kiwe choo na choo kiwe jiko ili jiko liwe sebule😕
Nilimshirikisha, though mwanzoni kwake color haikuwa issue, alichosisitiza tu ni kwamba isiwe silver coz anayoitumia ni silver so would prefer a different color!
Mambo ya wanawake si unajua.....they are so trendy!!
Huyo mkeo kwanza ana gari nyingine,
kisha ummepatia mupya sasa hivi anadengua ivo kwa nini? angalia usije kuwa mtumwa wa mapenzi mkuu! stuka! kwa nini na nani alimdanganya kuwa gari nyeupe ni taxi? and whats wrong with it?
Mweleweshe hela umeipata kiugumu, so alearn kuappreciate
wakati mwingine nenda naye show room akachague...labda anapenda NADIA? ama RAV 4 anaogopa tu kukwambia kuwa hii gari sijaipenda?