Wakuu, Nataka niisome hiyo Aws kwa ajili ya cloud storage...Natafuta hicho cheti cha mambo ya storage with amazon.
Nataka kujua, Is it worth it in 2020 in Tz?
Kwa mlio makazini storage mnafanyia wapi cloudbased servers au physically?
Na kama ni cloudbased ni wapi?Azeur Microsoft au Amazon??
Na kama ni Viable naombeni njia nzuri ya kujisomea
Nimefatilia mitihani inacost $150 kuna option nyingine?