Ushauri: Nataka kuoa Burundi

Niliwahi kwenda burundi na zambia ila nilichogundua ni kwamba wanawake wa hizo nchi wanawapenda sana watanzania, yaani ukimwambia Mimi ni mtanzania, basi ushampata...
 
Naweza kuwapata wapi,na mm nivute jiko?
Sehemu inaitwa- Haho-yaya- hii ipo katikati ya au inazungwa Na Remung’orori, Kenyamonta Na Sirori Simba . Sasa usiulize tena huko Ni wapi...
Na swali hili limeishwa jibiwa humu kitambo...
 
Mmetaja sifa zao nyingi ila mmesahau moja tu ambayo kwa sisi wanaume toka Tanzania hatuwezi kuvumilia nayo ni UCHAFU usibishe kama hujafanya uchunguzi
 
Haho yaya ndio wapi? Mko gani
 
Haho yaya ndio wapi? Mko gani
Mkuu hii sehemu imetajwa page ya 1 au 2 - anza mwanzo wa thread Kuna maelezo ya kutosha...
Hilo neno Ni slang waliyopewa hao watu . Wiliya Serengeti mkoa Mara inazungukwa Na vijiji via Remungorori, Kenyamonta Na Sirorisimba... unavijua vijiji hivyo?
 
Kwan Mkuu kunatofauti gani ya hii mitaa miwili pale Bujumbura si ni kama posta na Karume tu? Yani Bwiza ni mtaa mmoja na Buyenzi ni mitaa ya mbele hata sio mbali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…