Ushauri: Nataka kuoa Burundi

Sasa huko warundi wametoka wapi mzee..warundi wako huko Manyovu Kigoma,eneo mmoja la Munanila.sema wanamaisha magumu Sana yani ukitaka mbususu unajichagulia tu.Ila wanahasira sana.niliwahi kuwa na mmoja ukimuudhi haongei hata siku nzima.
 
Wapo ndugu yangu- nimezaliwa Na kukulia huko Na wanajulikana Kwa jina hilo - HAHOYAYA- ( sijali mama Kwa tafsiri isiyo rasmi)
Na kuna wazee wetu wamewaoa Na hakuna hizi habari za resifent permits sijui kitu gani.. maisha yanaendelea
 
Ushauri wenu wakuu!!…

Naona wanawake wa burundi bado ni wazuri sana kwene kutunza familia.

Nb ila nimeambiwa hawa ukicheat wanakuua
1. Wanawake wa Kirundi ni waaminifu sana, wanaume wengi wa Kirundi wamekimbilia Ulaya na Amerika na kuwaacha wake zao na watoto, wengine hata miaka 10 inafika hawajaonana, lakini mwanamke yupo tu analea watoto na kuamini ipo siku mmewe atarudi.

2. Mwanamke wa Kirundi akifiwa na mmewe na ikiwa tayari walikwishakuwa na watoto, huyo mwanamke katu hataolewa na mwanamme mwingine kwa heshima ya watoto

3. Lakini funga kazi Warundi wenyewe wanakwambia ukitaka mwanamke mwaminifu na mwenye mapenzi ya kweli basi oa Mcongo (sijaoa Mcongo lakini hii ni kweli nimethibitisha)
 
Dah ila wanaume wa Tanzania mna mahangaiko sana.....yaani walivyo na lafudhi mbovu mwisho wa siku uanze kushinda bar hutaki kurudia home
Ni bora uoe binadamu sio hawa wetu tamaa ya mali mbele,ukiyumba tu kiuchumi,sio wako
 
Mkuu tahadhari kuna makabila mawili wahutu na watsi wote wapo Burundi na Rwanda hao wanaoweza kukuua ni hatari sana ni kweli nimesikia izo story wao wenyewe walinambia mwaka jama nimekaa sana huko
 
Naweza kuwapata wapi,na mm nivute jiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…